Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,008
- 22,023
Halafu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada kuomba Mungu na kuombewa uondokane na hiyo Roho ya maringo, kiburi, hasira na dharau, eti unataka uombewe upate mume.
Mume gani atakuoa ukiwa mbishi na mwenye kiburi namna hiyo hata kama ni mzuri wa sura? Jiheshimu, vaa mavazi ya kistaarabu. Omba Mungu akusaidie kudhibiti ulimi wako na kauli chafu za kutisha na kuogofya wanaume.
Halafu jambo la mwisho la muhimu sana, epukeni na kujizuia kutoa siri zote za ufalme wenu hata kama ni za kweli au uongo. Mnaumwa na kuugua sana. Kila wiki unaumwa, ni mwanaume gani ataoa mgonjwa?
Chipukizi chukueni hilo.
Chunga sana hiyo tafadhali, itakusaidia 🐒
Mungu Ibariki Tanzania