Usimsifie mtoto wako wa kiume kuwa ni handsome boy akasikia, utamharibu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
27,211
65,616
USIMSIFIE MTOTO WAKO WAKIUME KUWA NI HANDSOME BOY AKASIKIA, UTAMHARIBU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Wazazi wengi hasa kina mama wameharibu watoto wao wa kiume kwa kuwasifia sifa hii kuwa vijana wao ni Handsome boys, Yaani wavulana wazuri wa maumbile na wenye mvuto wa kimapenzi. Huenda ni kweli kijana wako ni mzuri wa sura na maumbile hasa kimvuto wa kimapenzi lakini huna sababu ya kumwambia akasikia.

Kumwambia kijana wako ni mzuri kutamuathiri kisaikolojia. Na atakosa kuwa mwanaume kamili. Elewa kuwa uanaume kamili unaanzia kichwani yaani mwanaume ni akili. Sifa ya uzuri ni sifa ya Kike au kitu kinachotumiwa.
Mwanaume hatumiwi bali yeye ndiye mtumiaji.

Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anaakili nyingi, sio rahisi. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy NI kichwa darasani. Ni ngumu sana. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anapesa nyingi au ni tajiri. Sio rahisi.

Handsome boy wengi wameharibika au kuharibiwa akili na maneno ya kuitwa wazuri tangu wakiwa wadogo. Hii inawafanya wawe kama Wanawake tu.

Ni Handsome boy Wachache sana ambao wamebaki na sifa za kiume. Yaani ukute Handsome ambaye kichwani yupo vizuri ni sawa na ukute Mwanamke mwenye matamko makubwa alafu awe na akili. Ni nadra sana. Yaani kwenye Handsome boy 100 basi mmoja ndiye utakuta hajaridhika kiakili.

Wamama, msiwasemee watoto wenu wa kiume maneno ambayo hayawafanyi kuwa wanaume. Hakikisha mtoto wako unamwambia maneno kama; Wewe ni Mwanaume yakupasa uwe Hodari na shujaa" Unaakili sana mwanangu" unanguvu sana" wewe ni mjanja" Wewe ni mchapakazi". Sio mtoto unamsifia ujingaujinga.

Tatizo la kiumbe kikishaitwa kizuri kinaona kinathamani hivyo kinahitaji kuhudumiwa na kutunzwa.

Kijana Handsome anawaza kutafuta wanawake wenye vipato. Anawaza kulelewa. Yaani akili yake imelemaa kwa sababu tangu akiwa mdogo kalelewa kiuzuri uzuri kama Mwanamke. Akikosa vizuri ndio mwishowe anafirwa na kujiingiza kwenye mambo ya kushiba.

Sio ajabu kwa hapa Tanzania Mtu kuwa Handsome boy huonekana kama shoga kwa sababu ya tabia za Handsome boy kutopishana Sana na Mashoga.

Handsome hataki kazi ngumu na chafu. Handsome boy Kazi kujilamba lamba midomo na kurembaremba kama Mwanamke.

Handsome boy fikra na mitazamo yake ukimsikiliza akiongea hana tofauti na Mwanamke Slayqueen.
Yote ni wazazi kuwasemea watoto maneno yasiyoeleweka.

Ni vizuri uwe Handsome boy alafu uwe mwanaume halisi. Familia na jamii itakufurahia.

Sio Handsome boy kutwa kukimbizana na Wake za Watu kama kichaa. Au kuharibi watoto wa Watu.

Kazi hutaki kazi kujisifia ujingaujinga.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
USIMSIFIE MTOTO WAKO WAKIUME KUWA NI HANDSOME BOY AKASIKIA, UTAMHARIBU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Wazazi wengi hasa kina mama wameharibu watoto wao wa kiume kwa kuwasifia sifa hii kuwa vijana wao ni Handsome boys, Yaani wavulana wazuri wa maumbile na wenye mvuto wa kimapenzi.
Huenda ni kweli kijana wako ni mzuri wa sura na maumbile hasa kimvuto wa kimapenzi lakini huna sababu ya kumwambia akasikia.

Kumwambia kijana wako ni mzuri kutamuathiri kisaikolojia. Na atakosa kuwa mwanaume kamili. Elewa kuwa uanaume kamili unaanzia kichwani yaani mwanaume ni akili.
Sifa ya uzuri ni sifa ya Kike au kitu kinachotumiwa.
Mwanaume hatumiwi bali yeye ndiye mtumiaji.

Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anaakili nyingi, sio rahisi. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy NI kichwa darasani. Ni ngumu sana. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anapesa nyingi au ni tajiri. Sio rahisi.

Handsome boy wengi wameharibika au kuharibiwa akili na maneno ya kuitwa wazuri tangu wakiwa wadogo. Hii inawafanya wawe kama Wanawake tuu.

Ni Handsome boy Wachache sana ambao wamebaki na sifa za kiume. Yaani ukute Handsome ambaye kichwani yupo vizuri ni sawa na ukute Mwanamke mwenye matamko makubwa alafu awe na akili. Ni nadra sana.
Yaani kwenye Handsome boy 100 basi mmoja ndiye utakuta hajaridhika kiakili.

Wamama, msiwasemee watoto wenu wa kiume maneno ambayo hayawafanyi kuwa wanaume. Hakikisha mtoto wako unamwambia maneno kama; Wewe ni Mwanaume yakupasa uwe Hodari na shujaa" Unaakili sana mwanangu" unanguvu sana" wewe ni mjanja"
Wewe ni mchapakazi"

Sio mtoto unamsifia ujingaujinga.

Tatizo la kiumbe kikishaitwa kizuri kinaona kinathamani hivyo kinahitaji kuhudumiwa na kutunzwa.

Kijana Handsome anawaza kutafuta wanawake wenye vipato. Anawaza kulelewa. Yaani akili yake imelemaa kwa sababu tangu akiwa mdogo kalelewa kiuzuri uzuri kama Mwanamke.
Akikosa vizuri ndio mwishowe anafirwa na kujiingiza kwenye mambo ya kushiba.
Sio ajabu kwa hapa Tanzania Mtu kuwa Handsome boy huonekana kama shoga kwa sababu ya tabia za Handsome boy kutopishana Sana na Mashoga.

Handsome hataki kazi ngumu na chafu. Handsome boy Kazi kujilamba lamba midomo na kurembaremba kama Mwanamke.

Handsome boy fikra na mitazamo yake ukimsikiliza akiongea hana tofauti na Mwanamke Slayqueen.
Yote ni wazazi kuwasemea watoto maneno yasiyoeleweka.

Ni vizuri uwe Handsome boy alafu uwe mwanaume halisi. Familia na jamii itakufurahia.

Sio Handsome boy kutwa kukimbizana na Wake za Watu kama kichaa. Au kuharibi watoto wa Watu.

Kazi hutaki kazi kujisifia ujingaujinga.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Ndio hawa machoko yanayotutongoza huku mtaani jana maeneo ya Karume nimekutana na mwanafunzi wa kiume sekondary ya Loyola akanitongoza akaniambia anaishi KIgamboni kikastuka kidogo na huyo si wa kwanza pia nimewahi kutongozwa na mwanafunzi wa sekondari ya Ilala Kasulu baada ya kumchunguza akaniambia anaishi Tabata Barakuda,
 
Back
Top Bottom