tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,419
- 4,763
Inasikitisha kuona gereji za magari zikifunguliwa holela kwenye maeneo ya makazi.
Toka Dar, Arusha, Mwanza, hadi Mbeya. Zinavunja kuta za majirani, zinatupa mafuta na taka ovyo, zinaleta kelele mbalimbali, zinaziba mitaro kama shimo la kutengenezea magari, zinaegesha magari barabarani na kuchafua mazingira.
Sheria zipo, lakini usimamizi wake unaonekana ni dhaifu. Watoto wetu watakaa wapi. Wasimamizi wamejazana ofisini wanaangalia Facebook, Youtube na Instagram.