Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,778
- 239,454
Zamani kidogo nilidhani unapokuwa na Cheo kikubwa basi waweza kushawishi watu wengi wakupende, na hasa watu wa Kwenu, kumbe sikuwa sahihi.
Wakati mwingine huwa najiuliza huyu Tulia Ackson alichaguliwa na nani kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini? Inashangaza sana! huyu Mama hana Ushawishi kabisa, Hana Uwezo wa kuitisha Mkutano wa hadhara hata Soko Matola tu, achilia mbali Uyole.
Halafu ni kama Mbeya yenyewe haijui, Sijui kakulia wapi, Kwa Mbeya ni afadhali hata uweke Tamasha la Kwaya kuliko hawa Wahuni wanaotukana na Kufungiwa na BASATA kila uchao, Wazee wa Mbeya waliojaa Heshima na Busara hawawezi kuja kwenye Matamasha ya Matusi.