Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 532
- 753
Usiku wa kuamkia leo tarehe 03 Julai 2024,Waziri wa maji Jumaa Aweso (Mb) ametembelea na kukagua Hali ya uzalishaji maji katika mitambo ya Ruvu juu na Ruvu chini iliyopo mkoani Pwani.
Ziara hiyo imelenga kuangalia hali ya uzalishaji maji katika mitambo hiyo inayotumika na wakazi wa Mikoa ya Dar na Pwani.
Ziara hiyo imelenga kuangalia hali ya uzalishaji maji katika mitambo hiyo inayotumika na wakazi wa Mikoa ya Dar na Pwani.