Messi Lionel
Senior Member
- Jan 11, 2018
- 170
- 159
Baada ya kutazama mechi mbili yaani CSKA Moscow vs Arsenal FC (Luzhnik Stadium) na Olympique de Marseille vs RB Leipzig (Stade Vellodrome) na kuona jinsi gani mfuasi wa soka anavyoweza kufika katika kilele(peak) ya burudani ya soka nikiwa njiani narudi nyumbani mida ya saa 6 usiku(Wazungu wanasema Mid night) zilikuja hisia kali sana,,Nasemaje Kali Sanaaaa...na niliongozwa na Mungu nisikawie kuzifikisha kwenu jinsi zilivyokuwa nzito...
Tarehe 5/6/ mwaka ambao Tanzania(Taifa langu) liliingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi(Multi-party system),,mwaka ambao Uefa Champions League na English Premier league viliingia katika ...
Miaka mingi sana imepita lakini nikagundua kumbe pia katika burudani niliyokuwa nikiipata katika mchezo wa Soccer NILIWAACHA WENGI NJIANI...Ni kweli Ni marafiki zangu wengi sana Walimaliza safari yao ya Maisha...Si kwa kupenda wao bali kwa kuwa Mungu mkuu..Mungu wa Manabii na wafalme aliamua jambo lake na tusingepinga hata kidogo....
Mwaka 1998,kuna kundi nililiacha wakati tunafatilia kombe la dunia kupita Stika za Big G au Jojo..Rafiki kadhaa tuliokuwa nao hawakuweza kufika..Mimi nilipata neema hiyo(AHSANTE MUNGU)
Mwaka 2002,wakati tukimshuhudia striker wa kiwango cha dunia(World class n complete forward) Ronaldo Luis Nazario de Lima akisaidiwa vema na Fundi namba 10 bora Vitor Barbo Perreira(a.k.a Rivaldo) kumtungua Oliver Khan kuna kundi la rafiki hawakuwa na sisi(Mimi ILIKUWEPO,AHSANTE MUNGU)..
Mwaka 2004,ikiwa ni mwaka wa Euro ya kibabe pale Portugal huku Trequatista wangu bora akiwa ni Manuel Rui Costa..Pia The Gunners wakimalizia msimu wao wa Unbeaten kuna rafiki niliwaacha(Mungu alinipa Rehema za kuiona,AHSANTE MUNGU)..
Mwaka 2005,Liverpool ikifanya yale yasiyofikirika katika katika ubongo wa kawaida wa mwanadamu,Dunia ilishuhudia na nilikuwa hai(Ahsante MUNGU)..
Mwaka 2006 World cup ikifanyika Ujerumani kuna wenzangu walimaliza safari yao maanake Hawakuweza kushuhudia Jinsi Del Pierro alivyowaua Wajerani..Jinsi Zizzou alivyoingizwa majaribuni na Marco Materazzi na Jinsi Fabio Grosso alivyowaua Wafaransa..(AHSANTE MUNGU NILIKUWEPO)
Mwaka 2007-2009 miaka wa Ricardo Kaka,Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kutuonesha uwezo wao..Mungu alitupitisha Salama...
Mwaka 2010,Mungu alitupa Neema ya kuona kwa mara ya kwanza katika historia ya Dunia Kombe la Dunia likiandaliwa katika Ardhi ya Afrika(Ni kule kwa Wazulu)...
Lakini katika miaka ya karibuni Dunia tulishuhudia timu zilizokuwa bora kwa kiwango cha juu zaidi..Fc Barcelona ya Pep,Spain ya Vicente Del Bosque,Inter Milan ya Mourinho,Chile ya Jorge Sampaoli,Egypt ya Hassan Shehata,BVB ya Jurgen Klopp,Uruguay ya Oscar Tabarez...
Miaka yote hii kuna kundi kubwa la ndugu zetu,rafiki zetu na wapendwa wetu waliondoka kabla ya kuona Brazil ikifungwa 7-1 nyumbani na Ujerumani,Argentina ikicheza Fainal 3 za kimataifa bila Taji lolote,Tanzania ikiwa bado haijawahi kufuzu kwenye Kombe la dunia n.k...Mungu awarehemu..
Hata matukio ya wiki hii yaliyowatokea Barcelona,Madrid,Juventus bado Mungu alituweka hai...
AHSANTE MUNGU..
NATAKA KUSEMA NINI.....
IMEFIKA WAKATI TUKAUABUDU NA KUUFUATA SANA MTINDO WA MAISHA WA KILA SIKU KIMAZOEA..WA BURUDANI YA SOKA HASAHASA TUMESAHAU KUMBE kuna Kundi KUBWA SANA LA WATU WAMEONDOKA HAPA KATIKATI NA BURUDANI TUNAYOIONA LEO HII HAWAKUWEZA KUIPATA KAMA TUIPATAVYO SISI...
TUMEONA NI KAWAIDA KWA SABABU TUNAISHI..TUNAPUMUA..TUNAKULA..TUNALALA..TUNANENEPA..TUNACHEKA NA TUNA NGUVU YA KUBISHANA...
Tumesahau kumbe vyote hivyo ni Mmoja tu (MUNGU) anatugawia kwa mafungu...
Ikafika mahali nikajisemea kimoyomoyo kumbe kuna siku Katika kombe la Dunia miaka ijayo Kuna Timu ya taifa itafungwa Goli 4 mpaka dakika ya 80 lakini baada ya dakika 93 ya kipyenga cha mwisho Timu iyo ikawa imesawazisha goli zote na Kushinda ubingwa wa Dunia katika fainali ya mwaka tusioujua..siku tusioijua..
Huenda nikawa chini ya Ardhi..
Kumbe hatuishi..hatuwi hai kwa sababu kuna malengo fulani tumejiwekea tuyatimize..kwa sababu kuna aina ya mechi tunatamani tuzione...LAKINI NI KWASABABU MUNGU MWENYEWE AMEAMUA TUWEPO KWA WAKATI HUSIKA...
BINAFSI NAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA HAI MPAKA NAWEZA SHUHUDIA MATUKIO YA KUSHANGAZA KATIKA DUNIA YA SOKA...
MUNGU ATUJALIE MAKADIRIO YA BURUDANI ZIJAZO MBELE SAWASAWA NA ALIVYOPANGA...
MUNGU UWAREHEMU WOTE WALIOTUTOKA KATIKA NYAKATI TOFAUTI TOFAUTI..AMEN.
[HASHTAG]#FOOTBALLADDICTED[/HASHTAG]