Usikose kuangalia Super Clasico RIVER & BOCA, Copa Libertadores, Semi final!

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
9,184
8,712
Superclásico is the football match in Argentina between Buenos Aires rivals Boca Juniors and River Plate.

RIVER PLATE & BOCA JUNIORS, Saa 9:30 Juma Nne, usiku...Marudio 23/10/2018, saa 9;30 usiku.

GREMIO & FLAMENGO, Saa 9:30 Juma tano, usiku...Marudio 24/10/2018, saa 9:30 usiku.


Klabu ambayo imeshinda mashindano mara nyingi ni INDEPENDENT kutoka Argentina imeshinda Trophy jumla 7 (1964, 1965, 1972, 1973, 1974, 1975, 1984). BOCA JUNIORS ni timu ambayo imefika fainali mara nyingi, kumi na moja jumla, mara moja zaidi ya PEÑAROL ya Uruguay.

Vilabu hivi vimeshinda mataji makubwa zaidi katika Copa Libertadores, kipindi cha 1960-2018.

Klabu zilizoshinda mataji mengi zaidi.

__Independiente 7, Argentina
__Boca Juniors 6, Argentina
__Peñarol 5, Uruguay
__Bamba la Mto/River Plate 4, Argentina
__Olimpia 3, Paraguay
__Nacional 3, Uruguay
__São Paulo 3, Brazil
__Grêmio 3, Brazil
__Santos 3, Brazil

__N.k

Kulinganisha kati ya nchi zinaonyesha kuwa vilabu vya Argentina vimefanikiwa zaidi kupitia historia katika Copa Libertadores.

By country
Performance by country

CountryWonLost
23px-Flag_of_Argentina.svg.png
Argentina
25​
11​
22px-Flag_of_Brazil.svg.png
Brazil
18​
15​
23px-Flag_of_Uruguay.svg.png
Uruguay
8​
8​
23px-Flag_of_Colombia.svg.png
Colombia
3​
7​
23px-Flag_of_Paraguay.svg.png
Paraguay
3​
5​
23px-Flag_of_Chile.svg.png
Chile
1​
5​
23px-Flag_of_Ecuador.svg.png
Ecuador
1​
3​
23px-Flag_of_Mexico.svg.png
Mexico
0​
3​
23px-Flag_of_Peru.svg.png
Peru
0​
2​

The CONMEBOL Sudamericana is considered a merger of defunct tournaments such as the Copa CONMEBOL, Copa Mercosur and Copa Merconorte.[3][4][5][6] The winner of the Copa Sudamericana becomes eligible to play in the Recopa Sudamericana.[7] They gain entry onto the next edition of the Copa Libertadores, South America's premier club competition, and also contest the J.League Cup / Copa Sudamericana Championship.

Argentine clubs have accumulated the most victories with eight while containing the largest number of different winning teams, with a total of six clubs having won the title. The cup has been won by 15 different clubs. Argentine clubs BOCA JUNIORS and INDEPENDENT are the most successful clubs in the cup's history, having won the tournament twice, with BOCA JUNIORS being the only one to achieve it back-to-back, in 2004 and 2005.

images.png
Niwakumbushe tu, mwaka jana 2018 RIVER PLATE alitwaa kombe baada ya kumfumua BOCA JUNIORS.
 
Matokeo ya jana usiku. River Plate Mabingwa watetezi wameshinda 2-0 wakiwa nyumbani, dhidi ya Watani wao Boca Juniors. Wafungaji ni Rafael Santos Borre na Ignacio Fernandez.

Hii ilikuwa first leg. Second league itarudiwa 23/10/2018, saa 9;30 usiku.

Mchezo wa kwanza baina ya Gremio na Flamengo utachezwa saa 9:30 usiku.
 
Mchezo umemalizika baina ya Gremio 1-1 Flamengo..marudio 24/10/2018 saa 9:30 usiku...
 
Matokeo ya jana usiku. River Plate Mabingwa watetezi wameshinda 2-0 wakiwa nyumbani, dhidi ya Watani wao Boca Juniors....Wafungaji ni Rafael Santos Borre na Ignacio Fernandez.
Hii ilikuwa first league. Second league itarudiwa 23/10/2018, saa 9;30 usiku.

Mchezo wa kwanza baina ya Gremio na Flamengo utachezwa saa 9;30 usiku.
Leg not league
 
Copa Libertadores. Semi final!

Agg, River Plate 2-0 Boca

Marudio ni saa 9:30/Tisa na nusu, usiku wa leo

Mojawapo ikishinda atakutana final na Flamengo or Gremio!
 
Boca 1-0 River...Agg 1-2

Boca out...poleni sana chama langu

Final itapigwa Tarehe 23/11/2019
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom