Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele mwenyewe

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
8,170
22,113
Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date nae kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake

Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo mahusiano, atahitaji nafasi. Usifikiri ni ni bahati mbaya ukweli ni kwamba alishafanya hesabu zake tangu mwanzo.

Acha kujidanganya unapendwa. Mwanamke hakupendi isipokua anakutumia. Mwanamke anapokua mawindoni kutafuta mume, haaangalii character ya mwanaume. Anaangalia wallet, status, power na resources. Usipumbazwe na commitment yake kwako, kama anakutegemea kifedha kaa kitalaamu.

Usikae kizembe, utapigwa. Kama unafikiri nakudanganya angalia mifumo ya kisheria inavyomkandamiza mwanaume. The system always play to woman's advantage. This isn't women empowerment, it's legalized scam.

Ataondoka na watoto, nusu ya mali zako na utawajibika kumpa hela ya matumizi kila mwezi. Kumbuka hataishia hapo atakutangaza wewe ni mtu mbaya, atakusemea uongo na kukutumia kama mfano wa mapito magumu aliyokutana nayo.

Look am not saying all women are after money, but a lot are driven by financial motives. You need to be sharp enough to recognize the signs. Always make sure your finances are protected.

Sikufundishi kuogopa wanawake isipokua nakufungua akili ujue mfumo sio fair kwa mwanaume ili uji-adjust kitaalamu kama legendary Achraf Hakimi.

Achana na ujinga unaoambiwa wa ishi nao kwa akili na inferior complexity. Kumbuka hata ukiwa alpha male utakapopigwa tukio utakutana na consequences zile zile atakazokutana nazo simp. Sheria haziangalii kama wewe ni alpha male au simp.

Katika mahusiano yako usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele wewe mwenyewe. Focus iwe kujijenga wewe mwenyewe badala ya kumjenga mwanamke au kuyajenga mahusiano yako.

Ukijifanya mbishi iyo ni juu yako but the truth is hypergamy don't care about you.
 
Heshima yako.
Uzi bora sana.
 
"Modest anaanza, kufunguka kwa kusema ukweli nyie wanawake ni wanyama sana, mliokosa huruma na utu. Akaulizwa kwa nini unasema hivyo? Akajibu “Tuachane na hayo dada yangu, tuendelee na mengine.”

Maneno ya Alphonse Modest mchezaji wa zamani wa Mtibwa na Yanga ambaye yuko hoi kitandani akijiuguza.

Sijui kilimkuta nini huyu mwamba.
 
Interview yake iko wap?
 
1727462229531.jpg
 
"Modest anaanza, kufunguka kwa kusema ukweli nyie wanawake ni wanyama sana, mliokosa huruma na utu. Akaulizwa kwa nini unasema hivyo? Akajibu “Tuachane na hayo dada yangu, tuendelee na mengine.”

Maneno ya Alphonse Modest mchezaji wa zamani wa Mtibwa na Yanga ambaye yuko hoi kitandani akijiuguza.

Sijui kilimkuta nini huyu mwamba.
Huyu jamaa nilikua simjui kabisa. Kule jukwaa la michezo nimeona uzi huyu jamaa ametajwa kwenye title ila sikuuzingatia. Ngoja niende kuusoma
 
Nenda mkuu inavyoonekana mwanamke ndio chanzo cha majanga yake au baada ya majanga mwanamke akamkimbia.

Ila mwandishi wa habari aliyekuwa anamuhoji akuendelea kuhoji kwanini katamka maneno yale baada ya Modest kumwambia tuachane na hayo mambo.
 
Nakuelewa Mzee wangu.
Kwanini sheria inawasaidia sana wanawake kwenye swala la ndoa mkuu.?
Je,umegundua kitu Gani hapo? Natafuta Ajira
Hapa wataalamu wa sheria wangeweza kutupa maelezo mazuri. Binafsi nafikiri ni kwa sababu sheria ilitungwa kipindi ambacho mwanamke ni dhaifu na kawekwa kando kwenye nyanja zote, ivyo ikaonekana ni busara zaidi mwanamke akilindwa.

Sasa upepo wa feminism ukapita hapo katikati ndipo wanawake wakaona ni wakati wa kutumia loopholes za kisheria kujinufaisha au kumkomoa mwanaume.
 
Upo sahihi usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho ukapoteza malengo yako ulijipangia kama ni kumuhudumia fanya kulingana na uwezo wako au ziada ili hata ukiachana nae isikuumize.Ila wapo wanawake ambao huwa wanajitoa sana kwa wanaume kama ni wa aina hii wanastahili nao kuthaminiwa. Kwa upande wangu na namuhudumia manzi kulingana na yeye alivyokwangu na ndio namaana siwahi kujutia hii formula yangu
 
Hapa wataalamu wa sheria wangeweza kutupa maelezo mazuri. Binafsi nafikiri ni kwa sababu sheria ilitungwa kipindi ambacho mwanamke ni dhaifu na kawekwa kando kwenye nyanja zote, ivyo ikaonekana ni busara zaidi mwanamke akilindwa.

Sasa upepo wa feminism ukapita hapo katikati ndipo wanawake wakaona ni wakati wa kutumia loopholes za kisheria kujinufaisha au kumkomoa mwanaume.
Daah MWANAUME mwenzetu alilia sana kummake.
Yaani nyumba kajenga mwenyewe alafu ameambiwa aondoke amuachie mwanamke.
#TyreseGibson
 
Nenda mkuu inavyoonekana mwanamke ndio chanzo cha majanga yake au baada ya majanga mwanamke akamkimbia.

Ila mwandishi wa habari aliyekuwa anamuhoji akuendelea kuhoji kwanini katamka maneno yale baada ya Modest kumwambia tuachane na hayo mambo.
Nimeenda kusoma inasikitisha sana. Nafikiri kuna haja ya kuwa na taasisi ya kuangazia haya masaibu anayokutana nayo mwanaume.

Mifumo haina time na masilahi ya mwanaume, jamii nayo inaamini mwanaume ni invincible. Mwanaume ukikwama wa kukuokoa ni Mungu wako tu.

Muda pekee ambao dunia inaamini ni kweli tatizo lako lilikuzidi uwezo ni mpaka pale tatizo ilo likikuua.
 
Daah MWANAUME mwenzetu alilia sana kummake.
Yaani nyumba kajenga mwenyewe alafu ameambiwa aondoke amuachie mwanamke.
#TyreseGibson
Hili suala la mwanamke kuwa entitled kwenye mali za mwanaume sijawahi kulielewa kabisa. Katika dunia ya leo ambayp mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta hela kwanini aondoke na gawio kwenye mali za mwanaume?

Tutaambiwa ni fidia ya muda na jitihada zake kwenye ndoa, sasa kama ni kupika, kufanya usafi kwani na yeye si alikua anaishi na kula hapo hapo bila kulipia chochote, sasa kwanini na mwanaume pia asilipwe fidia ya kumtunza uyo mwanamke?
 
Nimeenda kusoma inasikitisha sana. Nafikiri kuna haja ya kuwa na taasisi ya kuangazia haya masaibu anayokutana nayo mwanaume.

Mifumo haina time na masilahi ya mwanaume, jamii nayo inaamini mwanaume ni invincible. Mwanaume ukikwama wa kukuokoa ni Mungu wako tu.

Muda pekee ambao dunia inaamini ni kweli tatizo lako lilikuzidi uwezo ni mpaka pale tatizo ilo likikuua.
Kabisa.

Mimi ni muislamu.

Naukubali sana uislamu na sheria zake hasa linapokuja suala la mwanamke.

Japo ma simps wengi wanazipinga na kusema ni sheria kandamizi.

Lakini ndiyo sheria ambazo wanaume tunatakiwa tutembee nazo hili tuendelee kubaki salama.

Achraf Hakimi na P square sio wajinga kufanya waliyoyafanya waliona mbali sana.

Wanawake wa sasa haijalishi ni wa race au dini gani asilimia zaidi ya 80 ni materialistic.

Anakuja kwako kwa lengo la kujijenga yeye na kwao tu na sio kufata mapenzi ya kufa na kuzikana.

Kinachowasaidia wenzetu ni wazuri sana kwenye kuigiza kiasi kwamba usipokaa kitaalamu unaweza kufikiri dunia nzima wewe ndie mwanaume pekee unayependwa.

Kumbe anakutafutia angle nzuri akupige na kitu kizito atokomee mbele.
 
Sisi wanaume tutashinda tu Mzee wangu.
Sababu Mimi naenda kupigana huko ili ule alafu mwisho wa siku unapata Mali kirahisi.

Na sijui kwanini Sisi wanaume hatuachi mwanamke sababu tu eti watoto ni wadogo wanahitaji malezi ya wazazi wote.
Hii ni Kwa Sisi baadhi ya wanaume.
Hili suala la mwanamke kuwa entitled kwenye mali za mwanaume sijawahi kulielewa kabisa. Katika dunia ya leo ambayp mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta hela kwanini aondoke na gawio kwenye mali za mwanaume?

Tutaambiwa ni fidia ya muda na jitihada zake kwenye ndoa, sasa kama ni kupika, kufanya usafi kwani na yeye si alikua anaishi na kula hapo hapo bila kulipia chochote, sasa kwanini na mwanaume pia asilipwe fidia ya kumtunza uyo mwanamke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom