Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 311,030
- 763,200
Je, unajua kwamba unapowalilia wafu wako, unajililia wewe na sio wao?
Unalia kwa sababu "umewapoteza", kwa sababu huna WAO kwa upande wako. Unafikiri yote yameishia kwenye kifo. Na unafikiri HAWAPO tena. Kwa hivyo ikiwa wafu wako wamekwenda, wako wapi?
Ndio wameondoka, na sasa wako sehemu nyingine, Je, mahali hapo ni pazuri zaidi ya hapa?.
Ndiyo, hakika mahali hapo ni bora kuliko hapa; hivi Kwanini unateseka kwa kuondoka kwao?. Unapozalizimika kukubali kuwa "HAWAPO" tena, lakini bado wako mahali pengine pazuri zaidi kuliko hapa, kwani huko waliko hakuna tabu tena , sio wagonjwa tena, au hakuna kuteseka tena.
Hakika utaacha kuwaomboleza na utawarudisha kwenye kumbukumbu ili waendelee kukusindikiza kwa furaha ya yote uliyoishi. Ikiwa uliwapenda kweli, WAPENDE TENA na wakati huu kwa nguvu zaidi, kwa usafi zaidi, kwa utoaji mkubwa zaidi.
Leo, hakutakuwa tena na lawama ya aina yoyote. UPENDO pekee, ndio utakaokuwa kiini kati yako, baina yetu, baina yao. Ninaheshimu uchungu wako, na jinsi unavyoomboleza.. Najua unalia na utalia bila faraja.
Lakini .. Leo nakuambia: Usife na wafu wako, Kumbuka tunaona upande mmoja tu wa shilingi. Hatutazami upande mwingine; hatuoni mahali pazuri pa nuru wanaposimama.
Je, tukianza kuona “kifo” kama Kuzaliwa Mara ya Pili? Na
Kuzaliwa Mara ya Pili sote lazima tupitie kifoni. Usife na wafu wako, waheshimu kwa kuishi maisha yako wangetaka wewe uishi, waache wavuke. Na uendelee kuishi.