Usidanganyike, vita kuu ya tatu ya dunia haitakuja kwa mfumo huu, bali mfumo wa kidini

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
20,844
32,589
Salaam, Shalom!!

Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi, kaskazini na kusini.

Silaha nzito za maangamizi Kila Taifa kubwa linazo, ni kutishana tu, haitakuwepo vita kuu ya tatu ya Dunia Kwa mfumo huu kama wengi wanavyodhani.

Kinac.hoendelea hivi sasa ni tetesi tu za vita sawa sawa na Mathew chapter 24, ni Taifa na Taifa litapingana, kundi na kundi, lakini vita ya Dunia nzima haitakuwepo.

Vita itakayokuja Dunia nzima ni ya mfumo wa kiimani, ni vita ya wamwaminio Yesu vs Wasiomwamini hii vita kuu ijayo itaitwa Armageddon war. Vita hii itakuja baada ya kunyakuliwa Kanisa.

Shika sana ulichonacho, mtu asikudanganye na kuitwaa taji Yako.

Mungu awabariki.

Ameen.
 
Ni vita ya technology itapiganwa kwenye computer
Ndio mikwara mbuzi yenyewe hiyo.

Kila Nchi ikiwa na ndege zisokuwa na rubani na marobot, vita hiyo ukipiganwa, watu watakuwa wamejificha Mahali wakiwa na remote control ya kupiganisha machines!!

Sasa hiyo Si vita.
 
Acha utapeli hakuna kitu kinaitwa Unyakuo ,

Unyakuo wa Siri ni fundisho la kipagani la walokole ,muwe mnasoma asili ya mafundisho huko makanisani mjue yametokea wapi, sio kila kitu mnabeba tu
Unyakuo imeandikwa ndani ya BIBLIA,

Tapeli ni wewe unayepunguza maandiko na kukataa kitu kilichoandikwa ndani ya BIBLIA.
 
Wakati vita iliendelea urusi na Ukraine, Gaza na Israel,

Huku Afrika mambo Yako kama kawaida,

Chama tawala kinaiba kura na kujitangazia ushindi wa kishindo.

Mtu asikudanganye,

Vita kuu ya tatu ya kupiganwa Dunia nzima wakati mmoja haitakuwepo.

Vita itakuja ya Dunia nzima ni ya kiimani, hivyo itaenda kote.

Mwisho wa utawala wa trump utatoka dira ya lini mambo hayo tataanza.

NENO la Mungu ndio iwe taa yetu, tusijejikwaa.
 
Salaam, Shalom!!

Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi, kaskazini na kusini,

Silaha nzito za maangamizi Kila Taifa kubwa linazo, ni kutishana tu, haitakuwepo vita kuu ya tatu ya Dunia Kwa mfumo huu kama wengi wanavyodhani.

Kinac.hoendelea hivi sasa ni tetesi tu za vita sawa sawa na Mathew chapter 24, ni Taifa na Taifa litapingana, kundi na kundi, lakini vita ya Dunia nzima haitakuwepo.

Vita itakayokuja Dunia nzima ni ya mfumo wa kiimani, ni vita ya wamwaminio Yesu vs Wasiomwamini hii vita kuu ijayo itaitwa Armageddon war. Vita hii itakuja baada ya kunyakuliwa Kanisa.

Shika sana ulichonacho, mtu asikudanganye na kuitwaa taji Yako.

Mungu awabariki.

Ameen.
Wadadisi tunaelewa hii
 
Vita ya Mwisho ni ya Harmagedon

After Trump America is falling as superpower
 
Trump anawindwa tena aondolewe,

Hilo likitokea, Taifa Hilo kubwa litaanguka Kwa maandamano, hawatasimama tena.

Ni maombi yetu amalize salama uongozi wake, maana katika uongozi wake, Mungu ataondoa na kuzuia UMWAGAJI DAMU duniani sababu ya Trump mtumishi wake.
 
Salaam, Shalom!!

Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi, kaskazini na kusini,

Silaha nzito za maangamizi Kila Taifa kubwa linazo, ni kutishana tu, haitakuwepo vita kuu ya tatu ya Dunia Kwa mfumo huu kama wengi wanavyodhani.

Kinac.hoendelea hivi sasa ni tetesi tu za vita sawa sawa na Mathew chapter 24, ni Taifa na Taifa litapingana, kundi na kundi, lakini vita ya Dunia nzima haitakuwepo.

Vita itakayokuja Dunia nzima ni ya mfumo wa kiimani, ni vita ya wamwaminio Yesu vs Wasiomwamini hii vita kuu ijayo itaitwa Armageddon war. Vita hii itakuja baada ya kunyakuliwa Kanisa.

Shika sana ulichonacho, mtu asikudanganye na kuitwaa taji Yako.

Mungu awabariki.

Ameen.
Sio inakuja.....ilishaanza........kule Ukraine sababu ya yale mapigano yapo kiroho zaidi......,moyo wa kanisa la orthodox la urusi upo Ukraine......ndo maana papa anakomaa sana upande wa Ukraine na Zelensky hadi alitaka kuhamisha tarehe ya xmas ya kanisa la orthodox Ukraine ihamie tarehe 25 dec badala ya January kama ilivyozoeleka orthodox..............mrusi kaibuka tena baada ya kulifufua kanisa lake na kuliunganisha kwenye utawala, Putin kuna makosa ya enzi za ukomunisti wa USSR kaamua kurekebisha maana enzi hizo serikali na kanisa walikua kama chui na paka
 
Tambueni Siri hii,

Donald Trump ni mtumishi wa Mungu,

Donald Trump ni Nabii wa Mungu.

Ukidhani Nabii ni Hadi asimame madhabahuni unakosea, Daudi alikuwa Mfalme na Nabii wa Mungu wakati huo huo.
 
Back
Top Bottom