Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,115
- 44,012
Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni.
Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni.
Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare.
Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu.
Kuna siku utahitaji kazi , post zako zitakunyima kazi.
Ukiwa mtandaoni wewe kuwa mtazamaji tu, au tumia account ya siri kupost na kukoment vituko na vichekesho.
Siku ulibadili mwelekeo watu hawatakuelewa. Ni nature ya binadamu kuwa hawasahau.
Labda kama mitandao unaitumia kama maisha yako (content creator) ndio uwe halisi nako pia kuwa makini.
Siku moja utahitaji kubadili life style contents zako zitakunyima usingizi.