Nilikuwa na soma huko tumaini nilipata demu mzuri kiasi ila kiumbo alikuwa poa.
nikasema sio vibaya mi kujikinga na katoto ka landlord nikakatokea hakakukubali bali kaliniambia tendwe hivyo hivyo nika muuliza una jamaa akasema ndio yuko sema safari na atarudi baada ya mwezi siku zikaenda mapenzi yakanoga sasa kwenye mzigo ndo ilikuwa kisanga kila nikiomba naambiwa tafuta wakukupooza roho ilikuwa ina niuma sana mapenzi yakanoga kila akiwa chumba ukitaka mzigo jibu ni lile lile. siku akanitumia msg usiku akaniambia yuko tayari mimi na yeye kuvunja amari ya sita mnyamwezi nikatafuta gesti niikalipa siku hiyoo hakutokea hata, tukaa kaa kama wiki akaniamibia leo njo tuonane kweli nikafanya juu chini tukaonana nilihangaika kuanzia saa 4 hadi saa 8 bado ananisumbua kumbe bwana demu ni bikra sasa alivyo ona nimekasirika ndo akanichana kuwa sijawai fanya mapenzi hata siku moja nikaona isiwe tabu nikatafuta staili nikamtuliza hofu nikavunja mlango damu kwa mbali nikasema yes nikamuuliza vipi kuhusu jamaa yako akasema mi sina mtu niko kama nilivyo nikasema yes tukaa kaa tena tukarudi hapo ndo aliona utamu wa dunia kila dakika anataka kwakuwa na mimi nilikuwa straight hapa ndo kafika.
ikafika siku nikawa namuhisi vibya maana alikuwa akishika simu anachati sana lakini ukija kuangalia kwenye chat sikuti chat hata moja.
nikasema sio mbya kumjaribu kwa mtego huuu siku moja ina muambia rafiki yangu wa karibu ajaribu kuchat nae na kuchokoza bwana weee manzi anafunguka kila idara nikaona sio tabu siku hiyoo nikajitosa nika muacha mazigira ya ajabu nika mwambia naenda chuo saizi narudi nika muachia jaamaa amjaribu.
Yaani sijaona mwanake mporomoko kama yule kwanza anahuruma pili anaona kila mwanaume anae tembea ana kiu ya mapenzi ukimwalika kwako hata kama ni usiku lazima aje.. anamapenzi ya kweli ina tatizo ni moja huruma.jamaa kidogo agonge na manzi alikuwa amesha kubali sema tatizo nilikuja mda jaamaa ndo anataka kula mzigo. na jamaa alipromisiwa kula mzigo siku 3 mbele jamaa akaniomba ruhusa nikasema fresh mi sina ndoa.
nikaona isiwe tabu ikabidi nimuache kwa mda tukaachana ila nika muambia jiachie kwanza tutarudiana ukijielewa akawa analia cha kushangaza baada ya siku 7 nili mpigia uiku anaanza kunitukana matusi makubwa hadi akawa ananipigia ni matusi tu. nikaona sio tabu ila kila asubuhi lazima aniombe msamaha lakini ukipiga jioni unakula matusi.
nikaona ngoja nikae kimya nimekaa kimya tukaja tukapotezeana. imepita miaka 3 mpaka sasa naona kajielewa sasa aliniandikia wosia kuwa anatamania angejielewa kipindi yuko na mimi.
ushauri: sio kila bikira ndo mwanamke wa kuoa kama ukibahatika kuwanae karibu mtreat mfunze mpe uhuru ila sio wa mawasiliano na mazoea ya watu na pia usipende kuwa mbali nao maana wanawake wana udhaifu sana sana hata akikuambia anajiamini we msikilize na wanageuka vibaya na usiombe uchambbwe na mwanamke ukitaka uwe sawa tafuta pesa kuwa namoyo kawaida angalia maisha na sio mapenzi utalia daima.
mi nime msamehe sio kurudiana hapana kuchengana tu.