Ninaomba kujua ulipaji wa ushuru wa bandarini ukoje maana nahitaji kuagiza mashine toka China, mashine bei ni $ 2000 dimension zake urefu ni futi 8 upana fut 3 na kimo ni futi 4 lkn nashindwa kutokana na kutokujua gharama ya ushuru bandarini ukoje isije ikawa gharama kubwa zaidi ya mashine nikaikimbia
Msaada jamanbidhaa iliyokamilika 25% Ushuru wa forodha, iliyo semi ni 10% na malighafi ni 0% hapo sasa ni kujua aina ya bidhaa kama itakuwa na ushuru bidhaa na VAT ambayo huwa ni 18%. Nimemuuliza mtaalamu