Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,284
Za asubuhi wakuu(Au nikamuulize jogoo?
Nina siku ya 31 tangu nijiunge na harakati ya ukombozi wa nafsi iitwayo NoFap Challenge.
Kuna vitu vimenitokea naona kama hii kweli inasaidia kuponya nafsi tofauti na awali kabla sijajiunga na hii kitu.
Mfano nimefululiza siku za karibuni hapa napata ndoto zilizolowana(nyevu) yani uko na mwanamke unamuandaa vizuri ile ukitaka tu kuweka pipe unashtuka hapo hapo na inakua ushindi maana unakua hujazitoa shahawa.
So naona kama ni kitu cha kipekee maana kabla ya hapo nlikua nikiota ndoto za hivo lazima nipige bao ndo nishtuke.
Karibuni sana nafasi ziko wazi na siku sio nyingi tutafanya uchaguzi wa kupata safu ya uongozi wa chama chetu.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app