Ezra cypher
Senior Member
- Jul 17, 2024
- 126
- 563
Napenda Leo nitoe ushuhuda katika karma.
Mimi Babu yangu alikuwa ameajiriwa na serikali ya wakoloni na baadae serikali ya Nyerere.
Babu yangu alikuwa MTU wa kujitoa Sana alihakikisha anaipambania familia yake kuwainua ,kuwasomesha na kuwapa maisha.
Ukija katika jamii Babu yangu kaacha legacy kubwa kasaidia Sana. WATU.
Baada ya mambo yote hayo yapi yamekuwa malipo yake ?
Watoto wake wote wamefanikiwa.
Kuwa na maisha bora Sana.
Ukija katika wajukuu zake sote maisha yanatuendea vizuri Sana.
Nakumbuka nilipost UZI nahitaji nafasi ya kuwa TISS -Ila nisiongee Sana kila kitu kilifanikiwa 100%
So karma is a debt and not favoritism what you sow now you shall reap.
Msione familia zina baraka na neema mkazani ni bure bure.