Hiyo ni kitu ya kawaida jamaa. Pale Chuo cha Tekiniko Arusha kila siku asubuhi majitu ya ajabu-ajabu yanafagiliwaga eneo la kwenye milingoti ya bendera. Watu wanajua mambo yao eti, ofisi zinavyofungwa sasa, ni balaa. Mambo na vitu vya ajabu yasijeonekana kwa wageni. Mabosi wengi pale hawana familia, wanaishi kwa kudandia wafanyakazi na wanafunzi, hao sangoma wamewapa mashariti magumu, vibaya!