otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 229
Ushawahi kupitia kipindi kigumu kiuchumi? Ulijikwamuaje?
Ndio, nimeshawahi pitia kipindi kigumu mnooo, mpaka nikahisi dunia nzito, nikamuua kujitoa kumtumikia Mungu kwa bidii, nikapata mtaji nikajiajiri hata sasa ni EbenezaUshawahi kupitia kipindi kigumu kiuchumi? Ulijikwamuaje?
🙏🙏🙏Ndio, nimeshawahi pitia kipindi kigumu mnooo, mpaka nikahisi dunia nzito, nikamuua kujitoa kumtumikia Mungu kwa bidii, nikapata mtaji nikajiajiri hata sasa ni Ebeneza
Ukikua utaelewa maana ya nilichoandika!!Bado haujasema.......
Nilikuwa nabeti,napiga nyeto,hivyo hivyo ...Ushawahi kupitia kipindi kigumu kiuchumi? Ulijikwamuaje?
😂👊Nilikuwa nabeti,napiga nyeto,hivyo hivyo ...
Ulijenga kibanda porini au ulikuwa unalala juu ya mti?Nimelala kwenye pori miezi 6.sikuwa na hela ya kodi.
Ila sikukata tamaa wala.kwenda kujishusha kwa ndugu
Hadi utasema......😃😃Ukikua utaelewa maana ya nilichoandika!!
Mh, wewe mshangazi upo wapi?? Pokea...................Bado haujasema.......
Nakula nakulaaa subiri ntakupigiaMh, wewe mshangazi upo wapi?? Pokea...................