Ushawahi kufanya interview vibaya lakini bado ukaitwa kazini

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,516
1,776
Haya maisha bwana.

Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.

Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini.

Je, ushawahi kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini je ilikuwaje.

Karibu
 
Haya maisha bwana.

Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.

Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini.

Je, ushawai kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini je ilikuwaje.

Karibu
bila shaka waliona bora yako kuliko wengine.
 
Wewe sema ulikua na referee wa ndani (inside man/woman) yaan hata ujibu pumba pumba tu yeye anaenda kuumaliza mchezo huko ndani hio nishafanya sana na nishakutana nayo sana na wanakutana nayo watu wengi sana,
 
una kazi nzuri sana,, style nyingine ya kutafta mchumba,,tunakuja inbox soon coz hela unazo
 
Wewe sema ulikua na referee wa ndani (inside man/woman) yaan hata ujibu pumba pumba tu yeye anaenda kuumaliza mchezo huko ndani hio nishafanya sana na nishakutana nayo sana na wanakutana nayo watu wengi sana,
Hamna ata
 
Back
Top Bottom