Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,176
- 17,345
Kwan ugomvi mkuu? Anyway note taken.jiongeze siyo kila kitu tukuambia ushamba huo fanya modernization ur bitth certificate chap
Hiyo modernization anaweza fanyia WAP? Sisi wagen mjin hapaumenisoma wazi
Hapana mkuu soma vizur hizo guidelunesWatakao nufaika na mkopo ni wale waliomaliza form six kuanzia mwaka 2013-2016
Hapana Mkuu!Watakao nufaika na mkopo ni wale waliomaliza form six kuanzia mwaka 2013-2016
Niko Zenji mkuu .Mkuu Hapo Ni Kucheza Na Cheti Cha Kuzaliwa Tu! Ukiangalia Kuwa Kamaliza Six 2009 basi Umri Sahihi Unaomfaa ni Miaka 27 au 28, Tena Mkuu Fanya Fasta Dogo Apate Cheti Kipya Huyo Jambo Ambalo Halitokucost Hata Elfu 50,000 muhimu uonane na wajanja na Watu Wa kuaminika.
Mkuu Ukimtengezea Cheti tu, Basi Mkopo Uhakika Hiyo! ingelikuwa Zenji Ningelikwambia Nitafute!!
Niko Zenji mkuu ni pm number tuone tunafanyaje .
Kudos!!!!Hapana Mkuu!
Huyo Kasema Anataka Kusoma MD ambayo ni "PRIORITY COURSES CLUSTER 1" hizi Kozi zilizopewa Kipaombele Namba Moja Hzina Kigezo Hicho Cha (2013-2016), Hata Kama umemaliza 2009 basi Wanakupatia Mkopo!
Kwa Kukupatia Reference Nimekikopi Kutoka GuideBook na Kukipesti Hapa Chini Kipengele Kinachoelezea Hayo Niliyoyasema.
""All Direct and Indirect applicants admitted to pursue Priority Courses Cluster I will be eligible for loans without considering graduation period (Form Six or other Equivalent Qualifications)"".
Hapana Mkuu!

Why???Disgraced