Niaje wanaJF, naomba ushauri wa kina nifanyaje hii website niliotengeneza kwaajiri ya wafanyakazi wanaobadilishana shida inakuja niongeze nin au nipunguze nn au nifanyaje ili niwezekuwashawishi wanafanyakazi wanaohama wajiunge kwenye website hii.
Kituo : Home
Asanteni kwa watakao toa ushauri.