Ushauri:Zoezi kupima watumiaji wa madawa ya kulevya lifanyike nchi nzima, kuanzia taasisi zote za serikali,vikiwemo vyuo ,mashule na taasisi za binafsi zikiwemo pia shule na vyuo.Wote watakaobainika kutumia madawa ya kulevya wafikishwe mahakamani.Kama ni wanafunz wasimamishwe masomo.Hatuwezi kuwa na taifa la mateja .Pia wote wanaowatetea mateja mahakamani wachukuliwe hatua kali.Wazir wa afya ,Ummy anza kazi hiyo Mara moja.