Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,032
- 2,415
Wewe noma aisee...Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo
Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya😡 akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye
Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡
Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?😡
Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake
Msaaada wenu
Jukumu la kulipia mtoto ada, matumizi na mavazi ni lala baba kisheria ingawa mama anaweza kuchangia endapo mahakama inathibitisha mama anauwezo huo na baba hana uwezo sana.Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo
Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya😡 akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye
Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡
Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?😡
Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake
Msaaada wenu
CCM imepumbaza mitoto ya kizazi hikiJukumu la kulipia mtoto ada, matumizi na mavazi ni lala baba kisheria ingawa mama anaweza kuchangia endapo mahakama inathibitisha mama anauwezo huo na baba hana uwezo sana.
Ila sasa ndio mwanaume wewe utasimamaje mahakani kuanza kudai pesa ya matumizi ya mtoto kutoka kwa mama kila mtu atashangaa.
Wanaume tulishabanwa na sheria hatuhemi.
Do! hii dunia inaenda kasi kuzidi kasia!Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo
Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya😡 akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye
Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡
Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?😡
Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake
Msaaada wenu
Nilikuwa nakuja hukoUna uwakika hata huyo mtoto ni wa kwako? Mbona kama sio riziki?
Utakuta team pinzani.Nilikuwa nakuja huko
Hehehehehehehehehehehehehehehehehehehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡
Upate mume uolewe sasa upunguziwe majukumu.Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo