Sinwar nasrallah
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,031
- 2,409
Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo
Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye
Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu
Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?
Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake
Msaaada wenu