Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,610
- 17,052
Niaje wadau
Kwa jinsi navyowapenda sitaki kuwapoteza
Mchezo up hivi... Nipashe ya Leo imeandika wavaa vimini Dar na wanyoa viduku wote jelaa kuanzia tar 17 Jan 2018 jijini Dar
Sa sijui wengine tutaonyeshaje mashepu na maguu yetu...
kiru jamaan tutafika kweli mbona 2025 mbalii?!
Shikamoo Namba!