brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
kufuatia wema sepetu kutoka na mkongo na picha zake kuzagaa mtandaoni siku chache baada ya kupoteza ujauzito wake kitendo kilichopelekea mpenzi wake idriss sultan kuanza kurusha vijembe snapchat.
mwanamama mange kimambi ameamua kumpa ushauri Wema Sepetu ushauri ambao haukumfurahisha idriss na kuamua kujibu mapigo.
“I think wote mshaona balaa la Idris na Wema huko snap chat. Idris ndo alieanza vijembe mwishowe Wema kamjibu Kwa kusema kwani alimuomba msamaha mpaka aseme it’s too late to say sorry?!Aibu tupu,” ameandika Mange.
“ Anyways Jana niliweka posti kuhusu what kind of men Wema awa date mkanitukanaaaaa weeee, Sasa kiko wapi? This is what I was talking about niliposema she needs to stay away from these young guys wanaoshinda kwenye social media. Angekuwa ni Mtu mzima mwenye heshma zake angefanya yote haya??”
“Kwako Idris, ni aibu mtoto wa kiume kuchambana Na mwanamke kwenye social media. Kuwa na kifua. Mbona mwenzio Diamond alijikaza kiume akaenda tafuta mwingine. No need for drama. Jikaze, ibuka na demu mwingine and life goes on!
Heshma ya mwanaume Ni hela tu nothing else. Kama huna usitake Kudate top girls, La sivyo utasumbuliwa tu! Wengine ooooh Mwambie Wema atafute chake, look around most women wenye pesa zao wako single Mnadhani hawatongozwi?
Tatizo wanatongozwa na wanaume ambao wako chini Yao, imagine mwanamke ana hela zake still hataki mwanaume ambae hana mahela.That’s why most successful women are single! Mwanamke hata awe billionaire still anataka mwanaume aliemzidi la sivyo mwanaume atakuwa anachapwa vibao Kila siku humo ndani!
Wema hope you learnt something here. Take your time this time. Stay single for a while! And when you date date someone very different from you! Hajui hata Instagram ndo nini, Tycoon flani hivi! Kina Dangote ( The real one), joyyuko down low , hakuna Mtu anamjua, ule bata Kama enzi zile,” ameongeza.
“Hawa Watoto wenzio wa social media hapana aiseee! Ona sasa nini Hiki! . Wema is a stunning woman! ni nini anahangaika na vitoto wakati anaweza kuishi maisha ya umadam kama kina Klyn na kina Faraja.
Atatafuta chake huko huko mbele Kwa mbele, Tena Hana baggage ya Watoto! Yani she can pull any man anytime! She needs to know her worth! . Wema naomba tusisikie ever again boyfriend wako ni Nani!”
Idris uzalendo umemshinda, na ameamua kujibu:
Umeangalia yooote kisha ukaona tu ni Idris ndio tatizo alianza vijembe. Hukuona picha zinazotambaa mtandaoni ? Hujui mi na yeye tumeongea nini ?
Hamuongelei suala lililopo wazi la udhalilishaji niliofanyiwa mimi mnaona kijembe cha its too late to say sorry kuni-judge. Kuna kitu kinaitwa stating the facts na kuna kuchambana i stated facts snapchat na sikuongea kibaya zaidi nilisema “Am walking away with my self respect this is class” kichambo hapo kipo wapi au ni kupotosha umma.
Times have change and so should all of us. Situation yote imetokea hujasema hata “Wema zile picha umekosea or Wema fanya kuomba radhi” ila umenikomalia Idris mdogo vijana wa lakilaki hawa katafute manager wa benki ma don na tajiri utulie. Kwamba nafaidika nini hasa ?
I came in this relationship with my fame and respect na influence. Haya sasa apate huyo manager leo kesho na keshokutwa jamaa kafilisika ya mungu mengi, inabidi umshauri atafute manager mwingine ? Atabadilisha wangapi ?
Matajiri wangapi from bill gates to Ghalib wa hapa Tanzania wamesota na wake zao wakiwa wana elfu mbili mfukoni sasaivi they are unbreakable. Badala mumshauri Wema akazanie biashara zake na kazi zake mnamuambia atafute matajiri wamlelee.
You are grown women and you know maturity is about the mindset and how you think and speak sio umri.
Nilisubiri nitulie kidogo nisijibu wakati nina presha presha nisingependa kukukosea hata kidogo maana nisingeweza lifuta. I respect you so much and you know it. God bless you.”
Mange aliamua kuwa mpole na kumjibu Idris:
@idrissultan Nimekuelewa mdogo wangu.Im sorry kama nilikuumiza! Mapenzi issue nyingine I can’t imagine how you feel!! Yes nimemkanya mnooooo about the photos ndo Maana Kasema hataki tena mambo ya picha! I’m sure uliona pia I was against everything that happened.
Problem is @idrissultan most people huwa wana deal Na matokeo au symptoms instead of chanzo. You are smart, whatever happened, the photos etc chanzo ni nini?
That’s the millionaire dollar question, CHANZO! Ushauri wangu ulitokana na kuzingatia chanzo cha Tatizo Na sio Picha zilizokuwa zinafunguka. You know too!
Anyways mimi niliongea tu mwisho wa siku Wema always does what she wants, kama anataka kurudi kwako atarudi tu Na Kama kaamua kumove on ata move on.
What I said really has no bearing on her decision! Again I’m sorry , I didnt mean to offend you…”