Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,856
- 2,967
Habari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji.
Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. Inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba.
Naombeni ushauri wenu kuhusu changamoto zake na mapungufu yake kwa wale ambao wamewahi kuzitumia au wanauzoefu na vifaa vya kampuni hii.
Asanteni sana.