Ushauri wa Askofu Bagonza kwa Serikali kuhusu sekta binafsi

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
9,804
14,204
Huu ni ushauri kwa Serikali sikivu ya wananchi lakini kwa serikali ya kifisadi ni kuingilia siasa!
 
Huu ni ushauri kwa Serikali sikivu ya wananchi lakini kwa serikali ya kifisadi ni kuingilia siasa! View attachment 3312969
Akashauri kanisa lake huyo banyamulenge, amshukuru Rais aliyeko madarakani ni mstaarabu angeshafukuzwa nchini kwetu. Huyo mbwa kipindi cha Magu alikuwa wapi, askofu gani ana amani moyoni, moyo wake umejaa chuki, husda, ubaguzi. Huyo hastahili ht kuwa raia wa kawaida achilia mbali uaskofu
 
Hujui Shetani Magufuli alikuwa Mrundi? Kilaza wa Samia uwe muelewa! Sasa nani alistahili kutimuliwa?
 
Hao mbwa wa kanisa ni wezi, wakwepa, wadhulumaji, wanyonyaji, hao wafanyakazi anaowazungumzia nenda kaangalie malipo yao ni ukatili, hawalipi kodi, hawapeleki makato ya mafao ya wafanyakazi. Achana na hao mashetani.
Bakwata wamekalia kulamba nyayo za mafisadi na kuomba nauli za kwenda Mekka kuhiji 😭😭😭!
 
Vilaza wa mama
Chawa wa mama
Mbilikimo wa mama
Walevi wa mama.

Hela za mama wakati wa kudaiwa madeni ya serekali. Tunataka pia kuwe na madeni ya mama.

Hii nchi inavituko sana.
 
Back
Top Bottom