Nashauri Mamlaka ya TCRA kuboresha huduma ya mobile number portability ili mtu apatikane kwa namba moja tu, hata kama atakuwa nazo nyingi, ili nyingine zibaki ni sub numbes;
Pia iweke utaratibu wa kuwabalansia gharama watumiaji ili iwe na mfumo wa HALICHACHI ya tigo, ili mtu anaponunua kifurushi kisiwe na expire time.