Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
19,367
29,211
Jana nilifanya time traveling kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 20 October. Mnyama (kolo) aka Simba amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly.

Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba

Nb: Makolo mwendo wameumaliza. Kifuatacho ni aibu kwa nchi.

1688470802253.jpg
 
Jana nilifanya nafanya time traveling.....kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 16 October......mnyama ( kolo ) aka Simba amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly

Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba

Nb: makolo mwendo wameumaliza.....kifuatacho ni aibu Kwa nchiView attachment 2737302
Hakika.nmeamn kweli utopwinyo weny akili n wawil
 
Jana nilifanya nafanya time traveling.....kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 16 October......mnyama ( kolo ) aka Simba amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly

Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba

Nb: makolo mwendo wameumaliza.....kifuatacho ni aibu Kwa nchiView attachment 2737302
Mkuu sahihisha mapema ni tarehe 20/10/2023

Tarehe 16/09/2023 watakuwa wanakandwa huko Zambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom