akash1555 Member Nov 19, 2016 87 26 Jan 27, 2017 #1 Naombeni ushauri wenu, Mimi mfanyakazi nauza vitambaa, leo nimetia short 12,000 yani sawa na kitambaa meta 1 ila boss kanimaind. Nifanye nini ili ajirudu niweze kuendelea kama mwanzo?
Naombeni ushauri wenu, Mimi mfanyakazi nauza vitambaa, leo nimetia short 12,000 yani sawa na kitambaa meta 1 ila boss kanimaind. Nifanye nini ili ajirudu niweze kuendelea kama mwanzo?
M masagati JF-Expert Member Oct 16, 2012 492 355 Jan 27, 2017 #2 Huja toa Maelezo ya kujitoshereza kwa vp imepata short hiyo.
mjingamimi JF-Expert Member Aug 3, 2015 41,886 50,481 Jan 27, 2017 #3 Jamii forums siku hizi pamekuwa pagumu.
DUME SURUALI JF-Expert Member Dec 8, 2016 782 1,081 Jan 27, 2017 #4 Nitumie elfu kumi m-pesa 0764 345 238 Nikupe dawa ya kumsahaulisha ...Mimi ni mganga bingwa
Godee jr JF-Expert Member Apr 17, 2012 1,820 2,479 Jan 28, 2017 #5 The The first Sam to go to to g to of of there fire damp hoisting hosting
sam sangh New Member Apr 16, 2020 2 0 May 2, 2020 #6 Wana jamii forum samahin nahitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya vitambaa vya nguo vinahitaji mtaji wa kiasi gani kuanza nao asanteni
Wana jamii forum samahin nahitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya vitambaa vya nguo vinahitaji mtaji wa kiasi gani kuanza nao asanteni
N Ngariba1 JF-Expert Member Jan 12, 2017 1,814 3,760 May 3, 2020 #7 sam sangh said: Wana jamii forum samahin nahitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya vitambaa vya nguo vinahitaji mtaji wa kiasi gani kuanza nao asanteni Click to expand... Vya suruali, gauni, mashati au vyote vyote?
sam sangh said: Wana jamii forum samahin nahitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya vitambaa vya nguo vinahitaji mtaji wa kiasi gani kuanza nao asanteni Click to expand... Vya suruali, gauni, mashati au vyote vyote?