Ushauri: Nataka nijenge nyumba Dege NSSSF, Kigamboni

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,431
12,292
Juzi niliamua kutembelea kigamboni hadi kimbiji nimepita pale mradi wa nssf dege kwa mbele huko nimeona kumetulia sana sasa wenyeji hebu leteni mchongo wa viwanja vya bei nafuu tuyajenge pesa ipo mfuko wa shati.
 
Rekebisha kichwa cha habari kina ukakasi. Unataka kujenga nyumba au barabara? Sema nataka kujenga nyumba maeneo ya Dege sijui NSSF
 
Kichwa cha habari kimechanganyikiwa...anyway viwanja standard kwa kigamboni vinaanzia 5m....
 
Heading na content ni tofauti.
Nikajua wewe ni kibosile fulani unataka kujenga barabara (kuisaidia serikali) au mkandarasi umejitolea.
 
Juzi niliamua kutembelea kigamboni hadi kimbiji nimepita pale mradi wa nssf dege kwa mbele huko nimeona kumetulia sana sasa wenyeji hebu leteni mchongo wa viwanja vya bei nafuu tuyajenge pesa ipo mfuko wa shati
Bajeti yako ni sh ngapi?
 
Back
Top Bottom