Ushauri: Nataka kutafuta "Fundi Juma" mwenye uzoefu wa kujenga ghorofa ili kupunguza gharama

Mahorii

Member
Jan 26, 2014
88
102
Habari wakuu,

Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja. Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.

Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu, nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza gharama. Nataka kujua kama kuna mtu hapa ameshawahi kujenga kwa kutumia fundi wa kawaida.

Pili, naomba msaada kuju makisio bila finishing kwa nyumba ya 98sqm.

Asante kwa muda wenu.
 
Ushauri wangu kwako ni , kama umeweze kupata michoro yote, Architectural na structural design jaribu hatua moja ya mbele ya kupata gharama akisi za ujenzi (hii unaweza pata kwa fundi mzoefu au mkadiriaji majenzi) .

Hii itakusaidia kupangilia ujenzi wako kwa hatua hasa kama bajeti yako ni ya kulenga na hapa utapata pia gharama ya ufundi ambayo utaangalia una bargain vipi na fundi.

Kwa makisio ya 98sqm nyumba ya chini au ghorofa na eneo ni wapi?
 
Habari wakuu,
Mungu akipenda,mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja.
Paka sasa, Nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.

Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu. nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza gharama. Natka kujua kama kuna mtu hapa ameshawai kujenga kwa kutumia fundi wa kawaida.

Pili, naomba msaada kuju makisio bila finishing kwa nyumba ya 98sqm.

Asante kwa mda wenu.
Mkuu naomba uweke hiyo Ramani yako nikupe ushauri zaidi
 
Kutumia local fundi kujenga ghorofa ni kweli inaokoa gharama, lakini hakikisha awe na uzoefu, pia kuwe na msimamizi anayeweza kumsimamia fundi. Fundi hata awe mzoefu vipi bila kusimamiwa na mtu anayejua(mtaalamu) huwa wanafanya makosa mengi sana
Gharama inategemea na aina ya jengo(drawings)

Swali langu kwa nn watu mnapenda ghorofa? Sijaona sababu sana
 
More sqm on small piece of land.
4 or 5 bedroom house with library,2 living rooms,spacious kitchen,utility room,4 bathrooms etc
 
Habari wakuu,
Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja.
Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.

Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu, nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza gharama. Nataka kujua kama kuna mtu hapa ameshawahi kujenga kwa kutumia fundi wa kawaida.

Pili, naomba msaada kuju makisio bila finishing kwa nyumba ya 98sqm.

Asante kwa muda wenu.
Hata kama utatumia fundi mzoefu, usimuachie afanye kazi yote peke yake

Kuna baadhi ya hatua zinahitaji msimamizi (mtaalam) awepo, na kuna hatua zingine zinakuwa hazina ulazima wa msimamizi kuwepo

Mfano siku ya kuset jengo ni vyema mtu aliyechora hiyo michoro akawepo ili awaongoze mafundi katika hilo zoezi (ikitokea misunderstanding yoyote katika vipimo, yeye ndiye anayejua cha kufanya)

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane au fatilia dondoo mbali mbali za ujenzi katika uzi wangu. Click ID yangu, nenda kwa post started by utaukuta
 
Habari wakuu,
Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja.
Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.

Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu, nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza gharama. Nataka kujua kama kuna mtu hapa ameshawahi kujenga kwa kutumia fundi wa kawaida.

Pili, naomba msaada kuju makisio bila finishing kwa nyumba ya 98sqm.

Asante kwa muda wenu.
Mimi nakushauri umpate Mhandisi Mzoefu wa Ujenzi wa Nyumba hasa Ghorofa. Huyu utamlipa fedha kidogo kwa aajili ya kumsimamia Fundi Juma ili asichakachue ratio za materials.
 
Kutumia local fundi kujenga ghorofa ni kweli inaokoa gharama, lakini hakikisha awe na uzoefu, pia kuwe na msimamizi anayeweza kumsimamia fundi. Fundi hata awe mzoefu vipi bila kusimamiwa na mtu anayejua(mtaalamu) huwa wanafanya makosa mengi sana
Gharama inategemea na aina ya jengo(drawings)

Swali langu kwa nn watu mnapenda ghorofa? Sijaona sababu sana
Kule juu kuna upepo mwanana halafu tunawachungulia majirani hapo chini 🤣
 
Back
Top Bottom