Ushauri:Namna ya kudeal na ACACIA na makampuni ya madini na nishati kama nchi

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,279
25,856
1. Tanzania inapaswa kusitisha au kujitoa kwenye Makubaliano ya Kimataifa kuhusu usuluhishi au uamuzi wa migogoro ya kimataifa. Hii itawazuia watakaoguswa kwenda nje kutushtaki na kutubabaisha.

2. Sheria zote za zinazohusu madini na nishati zipitiwe upya na kurekebishwa ili kulinda maslahi ya nchi. Itakuwa ni nafasi ya kurekebisha mrabaha na maslahi mengineyo

3. Mikataba yote ya madini na nishati ifumuliwe na kusukwa upya kwa lengo kama la kwenye nambari 2. Mikataba itamke wazi usuluhishi au uamuzi juu ya migogoro ufanyike katika Mahakama za Tanzania au kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.

4. Serikali ya Tanzania inapaswa kuwa na hisa katika kila kampuni ya madini au nishati. Hili lielezwe vyema kwenye Sheria na Mikataba.

5. Kuwepo na timu imara za majadiliano za Serikali kuhusu madini na nishati na vyombo vya usalama vihusishwe kumulika nchi hizo.

[HASHTAG]#Makosayarekebishwe[/HASHTAG]!
 
Swali la msingi kujiuliza magufuli alikua mbunge na waziri vipindi vyote! je kwanini alikaa kimya wakati mikataba inasainiwa?? kwanini sasa ivi ajidai anauchungu na hii mikataba??

Hili liwe fundisho kwa wanaccm sio kila saa kusema NDIIOOOOOO na kupiga meza kama hawana akili!
 
Magufuli alipaswa kufanya nini kwa sasa kwani?
 
Naunga mkono hoja. Tusubiri tume inayoendelea na kazi itatoa ushauri mzuri kwa Taifa namna ya kudili na haya Makampuni Nyonyaji Duniani.
 
Kuna watu akili zenu ni km mmeshikiwa na aliyewashikia alishakufa! Hata uwezo wa kufikiri ti zero cjui hvyo vichwa mlivyonavyo huwa na kazi gani au ndo vimejaa maji taka tu? Jiulize tu wakati miongoni mwa mzazi wako anamchepuko wa nje na mpaka ana amua kuzaa huko je alimshirikisha mwenza wake km sio huwa nikuzungukana tu?
 
Ila mimi nashangaa sana kila mtu ana hofu kwa serikali kushitakiwa na wawekezaji utafikiri hii nchi haijawahi kubinafsisha mali za wafanyabiashara aka wawekezaji! Kwenye madini tunapigwa sana, kama kwa uamuzi wa rais tutapata shida kama Mugabe basi na iwe hivyo maana mimi sijaona faida ya wazungu na misaada yao ndo maana bajeti ya serikali haitekelezeki sababu wazungu wenu wanaahidi mikopo lakin hawatoi. Kwa hiyo hii ni mbwa kala mbwa. Wakishtaki na kushinda watimueni tu na mitambo yao taifisha.
 
Kwanza kabisa nianze kwa kusema kama kwa umri wako hata kuandika hujui ni dhahiri kichwa chako kimejaa maji taka kama ulivyotanabaisha!

Pili, wazazi hapa wanaingiaje??
 
Usijitoe ufahamu mkuu, ni lini Magufuli alikuwa waziri wa nishati na madini?
 
JPJM kando ya hoja zinazohusiana na chato na wizara anazoziongoza hajawaji kuunga mkono hoja dhidi ya ufisadi ndani au nje ya bunge. JPJM alikuwa mtendaji mzuri siku zote lakini hakuwa na ujasiri wa kusimamia anacokiamini kwa gharama ya ajira yake. Alijua yote kuhusu mikataba mibovu lakini alikiwa ni mwanaccm jasiri na asingeweza kuacha asili yake; yaani "ndiyooooooooooo"!

Sasa amekuwa raisi na anafanya kama vile alitokea sayari nyingine. Alikuwa kama kondoo iki aukwae uraisi. Sasa anafanya mengi kinyume cha utamadini au mazoea ya maccm; na kuwachujiza sana maccm wenzake huku akiomba huruma ya watanzania wadanganyika mubashara kupitia vyombo vya habari huku akizuia wengine kuonyesha upande mwingine wa siasa.

Huyu ni lazima apingwe na yeyote ambaye si bashite!
 


!
!
We mkali wa senge kweli jamaa angu.... Khaaa. Kwa akili kama zako bora mshua wako angepigia puli bao lililokuleta ulimwenguni kuliko lijitu ka wewe.
 
Petro, hiyo mikataba ulishaiona? Na hiyo mizuri uliiona wapi? Kwa taarifa yako wazungu wamezima mtambo na tayari wameshaondoka, na chumba cha hazina kinafunguliwa kwa remote mwenye hazina anaishi canada.

Kaachwa mbongo mmoja kwa ajili ya kugawa barua za kufukuzwa kazi wafanyakazi wote.

Haya mumeshaachiwa mgodi endesheni kama munavyo endesha tulawaka.
 
Ushauri wako no 1. ni kumbu kutekelezeka hasa kama asilimia 90 ya wawekezaji ni makampuni toka nje!! Unapozungumzia mazingira bora ya uwekezaji ni pamoja na mifumo friendly ya kisheria na kuwa sain baadhi ya international convesion/agreements or treties vinginevyo hakuna mwekezaji makini atakayedhubutu kuwekeza nchini kwako hata kama ni wewe usingekubali!!!
 
Kwanza awaambie wabunge wake wa ccm waache kupayuka bungeni kama hawana akili!

Pili aweke mikataba ya mafuta madini na gesi vipitiwe upya na sio kuificha!!
Hakuna ushauri ulioutoa hapo
zaidi ni kujaribu kubeza tu...

Hebu tafuteni hoja za kitaifa nyie maana hivi juzi tu mlishika bango la rambirambi kishabiki na kipropaganda
 
Yule msanii kijana ajayejifanya mwanamke na kulewa anaitwa nani? Unamfahamu? Eheee anaitwa joti. Unamfahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…