Ushauri: Mapenzi yameisha kwa mpenzi wako na yeye bado anakupenda, utafanyaje?

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,989
4,725
Ukijikuta katika hali ambayo humpendi tena mwenza wako mke/mme. Mnawatoto wawili au wa tatu.

Kwa sababu mbalimbali imetokea humpendi tena mwenza wako. Umejaribu kujilazimisha, ume pretend mmeongea lakini wapi. You are no longer in love any more.

Unatamani uamke asubuhi ukute ametoweka kusiko julikana. Hadi wazazi na wachungaji wamejaribu lakini wapi. Ila mwenzako bado anakupenda na anasikitika hali hiyo.

Je unafanyaje 1. Kama wewe ndo mapenzi yameisha kwako mwenzako. Kama mwenzako hana tena mapenzi na wewe.
 

Ikinikuta hali kama hiyo itabidi nimtafute dokta wa magonjwa ya akili anipime!!
 
Chukua barua ya usuruhishi kudhindikana nenda mahakama ya kanisa/bakwata vunja ndoa uwe huru.kama mkristu badili dini uwe mwislam na chagua akupendae funga ndoa ile ya ki kristu inakufa rasmi.kama mwislam badili dini kuwa mkristu funga ndoa ndoa ya islamu imekufa rasmi.Mie nilipitia hatua hizo nimekuwa islam nina wake wawili wanapendana nakunipenda stress free!
 
Embu kuwa mkwel zaid ya hayo maelezo nafikr utapewa majibu mazur zaid
 
seek counselling/ nenda kwa watalaam wa hiyo huduma.kama hujui walipo nitakupa contact zao,ila ni DAR
 
Kama ni mwanaume unatakiwa
kuhama wewe na kuwaachia familia kila kitu
unakuja kutembea kwa wiki mara moja
matumizi unahudumia kama kawaida
huko pembeni unatafuta 'kiburudisho' tu cha mda..
 
Umalaya unamsumbua huyu mleta mada
Tatizo la waswahili ni kupenda kuficha mambo na kupretend kama hayapo. Hapa sijajiongelea mimi but nawakilisha watu wengi ambao they are going through this situation. kama huna mchango better ukapita kimya kimya.
 
Ikinikuta hali kama hiyo itabidi nimtafute dokta wa magonjwa ya akili anipime!!
Omba mungu usikutane na situation kama hiyo. Kama wewe ni mwanaume, mkeo anaweza kupoteza mapenzi na wewe. Utafanya nini? Utaenda kupimwa akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…