Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,075
- 43,866
Hello!
Kutokana na notice mbili za mfululilizo zilizotolewa na uongozi wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari (TPA) nawashauri watumishi wa TPA kutumia akili na kuwa fast.
Mambo yananadilika, hakuna mtu au kikundi cha watu kinaweza kushindana na serikali.
Acheni kusikiliza watu wa nje, acheni maneno ya vijiweni.
Mumepewa options 2.
Option namba 1 hiyo ndiyo kipaumbele cha serikali. Watakaokubali option namba 1 ya kusitisha ajira na TPA (serikalini) hao ndio watanufaika.
Utalipwa fedha ya kutosha kwaajili ya maisha yako na baadaye una ajira nyingine mkononi toka DP World.
Ni suala la muda tu, mambo yakichanganya watumishi wote mutatakiwa kuiacha TPA. Mutashangaa mbele hakuna kitu kinaitwa TPA hapo ndipo kutakuwa na option moja tu.
Na mahali popote kukiwa na single option panakuwa hapana maslahi.