Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 492
- 859
Hello team.
Naitwa Mussa, naishi Temeke, Dar es Salaam. Nina mpenzi wangu ambaye anatoka Kanda za Juu, na mama yake anatoka huko pia. Sasa tatizo ni kwamba kazini kwake anatoka na boss wake kwa siri sana, na nimegundua hilo.
Pia, boss wake ameoa. Sasa anataka kumtema mpenzi wangu, ila huyo boss amempa namba rafiki yake ambaye hajaoa ili awe naye kimahusiano. (Kwa sasa maongezi kati ya mpenzi wangu na rafiki wa boss wake yanaendelea).
Pili, nimegundua kuwa mpenzi wangu ana mahusiano na mtu mwingine ambaye huwa wanakutana na kulala naye sehemu hadi asubuhi, maana mpenzi wangu na mimi hatukai sehemu moja.
Baada ya kugundua hayo, nilimwita mpenzi wangu na kumuuliza kuhusu hili; alishituka hadi akazimia. Alipoamka, akasema ni maongezi tu ya kazi na biashara, hatufanyi kitu kingine.
Jamani, kabla sijafika mbali, naombeni ushauri wenu nifanye nini?