Leo naona nimshauri jambo hili Raisi wetu Samia, amekuwa akifanya mambo mengi ambayo kwa utashi wake pengine Yuko sahihi lakini Mimi naona kama haijakaa sawa.
Ni kuhusu Goli la mama kwenye michezo, pesa ambazo amekuwa akizitoa kwaajili ya goli la mama kama wanavyo tamka kwakweli ni pesa nyingi sana ambazo binafsi sioni kama ipo sababu ya kutoa pesa hizo. Mfano timu imeshinda goli mbili (2) hapo ni mil 10, ukiichukua mil 10 na ukaenda kujenga vyoo mashuleni ni jambo bora sana,
Ama iyo pesa itumika hata kununua pedi za watoto wa kike kuliko kuitupa kwenye timu za mipira ambazo pia zinajiweza kiuchumi. Mulio karibu na Raisi embu mpelekeeni huu ushauri wangu, mwambieni huku vijijini zipi zahanati zina Panadol tuu yaani hakuna dawa zingine kwaiyo pesa ya goli la mama aibadilishie matumizi.
Soma Pia: Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF