Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Mkuu unaweza ukawa sahihi kutokatona na jinsi ulivyonielewa ila nna haya ya kukuelezaHakuna haja ya ku invest mapesa mengi kwenye suala hili.
Wanaweza kutumia miondombinu iliyotumiwa na tume ya uchaguzi au hata ile wanayotumia TRA katika kutoa lesseni au ile inayotumia kutolea Passports au ile ya NIDA.
Mkuu unaweza ukawa sahihi kutokatona na jinsi ulivyonielewa ila nna haya ya kukuelezaHakuna haja ya ku invest mapesa mengi kwenye suala hili.
Wanaweza kutumia miondombinu iliyotumiwa na tume ya uchaguzi au hata ile wanayotumia TRA katika kutoa lesseni au ile inayotumia kutolea Passports au ile ya NIDA.
Mahusiano yapo mkuu...Bora mtu awepo hata kama hajishughulishi..mtoa mada unajua kuwepo kazini hakuna uhusiano na mtu huyo kufanya kazi? mahudhurio sio ishu kabisa.
muhimu ku address sababu ya wao kutopenda kazi zao na kuzishughulikiaMahusiano yapo mkuu...Bora mtu awepo hata kama hajishughulishi..
MF. Mwalimu akiwepo hata kama haingii class still wanafunzi wanaweza kumfuata kuuliza maswali
Nilikuelewa vizuri tu mkuu. Hoja yangu ni kuwa hakuna haja kwa serikali kuwa na duplicate systems. Tunaweza kuweka utaratibu mzuri tu ambao unatumia system mmojawapo kati ya ambazo tayari zipo (hata kwa kuongezea uwezo hapa na pale) . Ndio sababu nikasema wanaweza kutumia system ambazo tayari zipo badala ya kuanzanza kununua mitambo mengine kwa gharama kubwa. Kwa mfano ile ya tume ya uchaguzi kwa sasa hizi inafanya kazi gani? Au hata ya NIDA nayo inafanya kazi gani?Mkuu unaweza ukawa sahihi kutokatona na jinsi ulivyonielewa ila nna haya ya kukueleza
1. Kwanza ni sahihi kutumia pesa nyingi kwenye hili kutokana na ukweli kuwa pesa zinazopotea ni nyingi kuliko tutazotumia kununua biometric machines.ndio maana hata fence za umeme zipo uzunguni na kwa matajiri kwa hofu ya kupoteza kikubwa dhaidi ya thamani ya electric fence..Swahili wewe ukiwa muoga sana uta
Mkuu unaweza ukawa sahihi kutokatona na jinsi ulivyonielewa ila nna haya ya kukueleza
1. Kwanza ni sahihi kutumia pesa nyingi kwenye hili kutokana na ukweli kuwa pesa zinazopotea ni nyingi kuliko tutazotumia kununua biometric machines.
2. Suala la wafanyakazi hewa ni suala endelevu na si la mpito, sababu watu tunakufa na watu bado tunatoroka workstations zetu,how can the government monitor its employees's daily movements? Sababu kupitia fingerprint yako ndo utapata mshahara..kama umekufa watu watajua sababu hutopunch biometric halikadhalika kwa atakae kimbia workstation yake...sasa tukiazima za NIDA zitakuwa na msaada kwa kufanya surveillance ya daily movement za wafanyakazi.
Maana hapa u kiingia una punch in, lunch una punch out na kurudi una punch in,na ikifika mda wa kutoka una punch out ,hapo mfanyakazi hewa hapatikani Daima .
At least awepo ili tusilipe mshahara kwa maiti na walio toroka vituo vya kazimtoa mada unajua kuwepo kazini hakuna uhusiano na mtu huyo kufanya kazi? mahudhurio sio ishu kabisa.