Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Huyo yupo yupo tu,hafadhari ya Shettah anaishi kistaa,lakini sio huyo.
Atakuwa nayo tu,ila muda bado. Mwanzo alisema hawezi kuwa na dancers sasahivi anao,hawezi kuonyesha mambo binafsi sasahivi anafanya, karibia kila kitu alichokiponda mwanzo sasahivi anakifanya.Sijui ni Ukata wa fedha ama nini.? Mana msanii kama kiba lazma awe na production team yake iliyokamilika katika kila idara.
inamaana Kidoti ndo kikwazo.?Tatizo Kidot, she is very demanding.
Kijana hageuzi hapo. Atatumia 18M hivi karibuni kwenda kuongeza kidot cha pili. Fedha zitatolewa na mfadhili, ipo wazi sana.inamaana Kidoti ndo kikwazo.?
Dah haters bwana kama tatizo ndo hilo mbona wizkid anapost video na picha zilizopigwa na Nokia tochi lakini anakubalika dunia nzima team domo bwana mnashabikia shoga lile linavaa minguo mapaja nje hereni katoboa pua kweli shetani ana nguvuAtakuwa nayo tu,ila muda bado. Mwanzo alisema hawezi kuwa na dancers sasahivi anao,hawezi kuonyesha mambo binafsi sasahivi anafanya, karibia kila kitu alichokiponda mwanzo sasahivi anakifanya.
Tanzania nzima msanii anayeongoza kwa video na picha nzuri social network ni omydimpoz na anachukua na simu tu hana photographer wala nini kujitia gharama za bure tu hebu nitajie photographer wa davido na wizkid ili twende sawa samsun maana pagan hana dini hahaKama kupiga picha ndio muziki niambie Le Mutuz ana albamu ngapi?
Mwanaume wa darNiaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.
Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono.
Msanii mkubwa kama Alikiba mambo yake mengi anayofanya kwenye sosho media yanaonekana Duniani kote kwa sababu anamashabiki Dunia nzima. Tatizo linakuja katika Picha zake na Video anazoposti kwenye soshomedia hazina kiwango kama yeye alivyo na kiwango. Picha zake na video nyingi zinapigwa ama "Kushutiwa" kwa simu ya mkononi. Msanii kama Kiba anatakiwa awe na Mtu/watu maalum ambao watakuwa wanahusika na Picha na Video zake. Natumaini Soon Sony music wataliona hili na watalifanyia kazi. Kwasasa msanii wetu huyu yupo katika ramani ya dunia kwahiyo hana budi kufanya kazi zake "Kiprofeshno" Zaidi.
Nawasilisha kwa hisani ya #mckonjetv
Hee sorry bado Wana KazanaTatizo Kidot, she is very demanding.
Niaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.

Labda unatumia tekno ndo maana unaona picha za wizzy km anatumia nokia torchDah haters bwana kama tatizo ndo hilo mbona wizkid anapost video na picha zilizopigwa na Nokia tochi lakini anakubalika dunia nzima team domo bwana mnashabikia shoga lile linavaa minguo mapaja nje hereni katoboa pua kweli shetani ana nguvu
Ntake radhi ninamiaka 10 sijakanyaga BongoMwanaume wa dar
Niaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.
Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono.
Msanii mkubwa kama Alikiba mambo yake mengi anayofanya kwenye sosho media yanaonekana Duniani kote kwa sababu anamashabiki Dunia nzima. Tatizo linakuja katika Picha zake na Video anazoposti kwenye soshomedia hazina kiwango kama yeye alivyo na kiwango. Picha zake na video nyingi zinapigwa ama "Kushutiwa" kwa simu ya mkononi. Msanii kama Kiba anatakiwa awe na Mtu/watu maalum ambao watakuwa wanahusika na Picha na Video zake. Natumaini Soon Sony music wataliona hili na watalifanyia kazi. Kwasasa msanii wetu huyu yupo katika ramani ya dunia kwahiyo hana budi kufanya kazi zake "Kiprofeshno" Zaidi.
Nawasilisha kwa hisani ya #mckonjetv
KweliNiaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.
Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono.
Msanii mkubwa kama Alikiba mambo yake mengi anayofanya kwenye sosho media yanaonekana Duniani kote kwa sababu anamashabiki Dunia nzima. Tatizo linakuja katika Picha zake na Video anazoposti kwenye soshomedia hazina kiwango kama yeye alivyo na kiwango. Picha zake na video nyingi zinapigwa ama "Kushutiwa" kwa simu ya mkononi. Msanii kama Kiba anatakiwa awe na Mtu/watu maalum ambao watakuwa wanahusika na Picha na Video zake. Natumaini Soon Sony music wataliona hili na watalifanyia kazi. Kwasasa msanii wetu huyu yupo katika ramani ya dunia kwahiyo hana budi kufanya kazi zake "Kiprofeshno" Zaidi.
Nawasilisha kwa hisani ya #mckonjetv
Umeonaee mkuu au itakuwa nao ni wenzie u never knowDah haters bwana kama tatizo ndo hilo mbona wizkid anapost video na picha zilizopigwa na Nokia tochi lakini anakubalika dunia nzima team domo bwana mnashabikia shoga lile linavaa minguo mapaja nje hereni katoboa pua kweli shetani ana nguvu
Katika ubora waoMwanaume wa dar