Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 316
- 100
Tatizo gearbox, ukiweka hydraulic ambayo siyo special kwaajili ya nissan umeumia, besides natafuta engine na gearbox ya Xtrail kwa bei nafuu, aliyenayo anipm
Kabla sijakushauri ningependa kujua Wewe Ni Ke Au Ni Me?
Tatizo gearbox, ukiweka hydraulic ambayo siyo special kwaajili ya nissan umeumia, besides natafuta engine na gearbox ya Xtrail kwa bei nafuu, aliyenayo anipm[/QU
Tatizo gearbox, ukiweka hydraulic ambayo siyo special kwaajili ya nissan umeumia, besides natafuta engine na gearbox ya Xtrail kwa bei nafuu, aliyenayo anipm
Vp ubara wake,yani haisumbui mambo mengine?
Mkuu hilo sio tatizo kwa sababu unajua unatakiwa uweke genuine...inaitwa fluid matic J..lita 50000 tu. Kama ni xtrail cc 2000 unawwka lita 4..engine oil bp premium au standard 60000....oil filter genuine 25000 ni kawaida.issue ni purchasing power!Tatizo gearbox, ukiweka hydraulic ambayo siyo special kwaajili ya nissan umeumia, besides natafuta engine na gearbox ya Xtrail kwa bei nafuu, aliyenayo anipm
Mdau mwanajengo;Habari za humu ndani,
Kwa yeyote mwenye uzoefu kuhusu gari vipi ubora na spare parts za Nissan X-trail.I mean durability and availability of spare parts za hizi gari kwa ambaye ana uzoefu nazo. Tatizo lake hasa labda ni nn? Nasema hivi kwani kuna gari unakuta tatizo lake kuu ni Miguu ya mbele ndo kitu kinachosumbua.
Ntashukuru.
Hiyo Synthetic naitaka mkuu.Mdau mwanajengo;
Karibu ulimwengu wa nissan xtrail..
Hakuna tatizo la xtrail ila zinahitaji adabu tu ya genuine parts.Mi ninalo huu mwaka wa tatu nilitoa japan.
Zingatia;
Spare zake nyingi ni original na kwa dar unazipata Master card auto au kisangani zote ziko along msimbazi road.
-Engine oil tumia bp standard au bp premium ambayo unatembea km 3000 ndo umwage.Pia iko synthetic ambayo ukiitaka nakuletea ambayo unatembea km 20,000 ndo uimwage
-Gear box oil ni fluid matic j ya nissan tu..ambayo lita ni elf hamsini unaweka lita nne.
-oil filter genuine ni elf ishirini
-kutunza body paka car wax ya metallic
-Hakikisha una maintain coolant level(max)
-mafuta usiache hadi ifike E.Pendelea full ac..mi natumia 1l km 10.
Ukiamua kununua xtrail ukazingatia hayo baadhi ya mengi hutajuta.wachana na vitisho na hearsay tatizo ni affordability tu.