Imeandikwa "Amtafakarie Mungu atapata mema.
Acha hayo mawazo huo no mtandao Wa shetani ili akuaharibie na akuamishe kwny Kusudi la Mungu. Nenda sana knsn, kaa kwny maombi, mwabudu na msifu Mungu , soma Bible na utafakari Neno LA Mungu, hapo utashinda maana shetani hatapata nafasi ya kuingiza mawazo yake.
Mm nimeweza na Nina miaka SITA (6) bila mwanamke, acha kuckiliza miziki ya kidunia maana iyo inaleta uwepo wa kishetani.
Ninakuombea sasa: Kwa mamlaka ya Jina LA Yesu ninakata izo nyaya za mawasiliano ya kipepo zilizounganishwa na ufahamu kwa Damu ya YESU KRISTO, tangu nakuunganisha na mtandao Wa Mbinguni kwa Jina LA Yesu Kristo, nimeomba. Amen