Mitihani ya PSTB, hii ni mitihani ya level ya proffessional. Zimegawanyika katika stage 5 yaan proffessional level 1 had 5. Kwa wale wa certificate na diploma wanaweza anzia prof level ya 2 nk, ila yule wa advanced diploma{higher diploma} na degree pia wataanzia prof level ya 4.
Prof level ya 5 hii ni level ya masters yaani for research ila digree au diploma anaweza fanya hiyo ilimradi awe amemaliza hizo stage za awali bila hata kupitia masters. Kama wa degree, wa diploma anaweza fanya prof level ya degree(prof ya 4) ikiwa amemaliza level za awali na anaweza piga hata hiyo level ya 5 bila ya degree wala masters.
Wale wa 4m4 & 4m6 wanaanzia foundation stages nazo zipo 4 wakimaliza zote hizo ndo wanaanzia prof 1 nk. Sifa kwa 4m 4 uwe na pass 4 ikiwemo ya maths & english ndo unaweza piga hizo foundation stages bila kupitia chuo.
Sasa hivi fani nyingi ukimalza chuo lazima upate usajili kutoka katika baraza husika mfano Engineering, Afya, Biashara(Uhasibu CPA(T), Procurement PSTB).
Ushauri: Kwanza soma chuo halafu ndo upige board.