Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,631
- 2,038
Naombeni ushauri wataalamu... nina machaguo mawili nataka kununua Lg x boom sound system ya watts 950 au Lg home theatre ya watts 1000 kati ya option hizo mbili mnanishauri nichukuwe ipi kwa matumizi ya nyumbani tu?
Lg x boom sound system ni Tshs 900,000 na Lg home theatre ni Tshs 850,000
Bei sio tatizo nazungungumzia ubora tu hapa ipi iko good kwa matumizi.
Lg x boom sound system ni Tshs 900,000 na Lg home theatre ni Tshs 850,000
Bei sio tatizo nazungungumzia ubora tu hapa ipi iko good kwa matumizi.