Ushauri kati ya gari aina ya Nissan Note, Honda Fit na Mazda Demio

Bk1

New Member
Aug 22, 2024
4
2
Habari zenu wana JF, nataka kununua gari kutoka Japan, ila sijawahi kumiliki gari lolote, nilipo angalia mtandaoni niliona magari niliyotaja hapo juu yako affordable kwangu,je ninunue gari gani kati ya hayo.

NB. Gari ni la kwenda nalo kazini 3km per day, na pia kabisan.

Karibuni kwa ushauri wenu, Povu ruksa
 
images.jpg
images.jpg
 
Back
Top Bottom