Ushauri juu ya huu ujauzito

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Naishi na mwanamke, tumekaa 3 years hatujajaliwa mtoto. Mwezi wa pili alipata msiba akaenda kwao akiwa kule alinipigia amepata bibi mtaalam wa tiba asili anampa dawa mwez wa 3 tarehe 7 akaniambia yupo siku zake, akamaliza tarehe 11. Tarehe kumi na 5 akaja tukashiriki tendo kama kawaida tarehe 5 a kanuna kipimo kajipima akaniambia ni mjamzito. Dalili kwel niliziona nilikua nimesafiri nimerudi mm siamini kabisa huu ujauzito kwa hesabu zinagoma kabisa kweli.

Mtu anaweza toka siku zake mimba inase?

Ushauri jaman nisije bambikiwa WanaJF.
 
Mimba ya bibi mtaalam wa tiba ila kwa vile ni mwanamke wako we kubali tu. Kama huna hata mtoto wa kusingiziwa mwambie akupeleke na wewe kwa bibi inalelekea ni mtaalam sana.
 
Mimba ya bibi mtaalam wa tiba ila kwa vile ni mwanamke wako we kubali tu. Kama huna hata mtoto wa kusingiziwa mwambie akupeleke na wewe kwa bibi inalelekea ni mtaalam sana.
watoto ninao kijana wawil but si wake niliwapata kipindi cha ujana
 
Inawezekana japo haikuwa vzur kupata mtoto kwa kupitia mabibi wa jadi kama wewe ni wa imani ya dini.
Sasa kama ulikuwa na imani kwamba atazaa wakati unajua hana uwezo huo, iweje uwaze kupata mimba siku ambazo siza hatari!? Ndo muujiza wenyewe chezea wabibi wewe, ukitaka hata wewe unaweza ukahamishiwa alaf wakati wakujifungua akajifungue yeye!!
 
Hiyo ni mimba yako mkuu kwa mujibu wa mahesabu ya kalenda...hamna jinsi wacha ulee tu.
 
umenikumbusha mbali sana mkuu mabibi wakinyamwezi wanaweza wakazuia mimba ikaka hata two years ndani.
au kikongwe kutengenezewa dawa akanyonyesha mtoto. ni ngumu kuamini ila yameshatokea.
 
OK. ww kwa tarehe hizo hiyo mimba inawezekana? maana mm naona ni haraka mno
 
OK. ww kwa tarehe hizo hiyo mimba inawezekana? maana mm naona ni haraka mno
Kwa mujibu ya jinsi ilivyopatikana inawezekana (kwa madawa) pia kwa namna ya kawaida inawezekana japo nikwa nadra sana
 
Kweli maajabu yapo duniani
,, au hakuingia siku zake alikupiga changa kuna li jamaa liliosha hukohuko msibani dhen ukaletewa wewe.
Na pia kama ni bibi kafanya mambo,, usishangae kesho akachoka kuibeba na kwa vile mnapaswa msaidiane atarudi tena kwa bibi akuchape cha kusaidiana nacho

Ni mtazamo tuuu
Lakini kuna dalili zote za uhalisia
 
daa nipo njia panda sana
Pole sana mkuu, ila ujue tu kwa mujibu wa utafiti chini ya 50% ya watoto wanalelewa na baba ambao hawajawazaa kwahyo hata hao wawili ulionao mmoja ndo anaweza akawa wako
ukizaliwa mwanaume...!
 
No! Let's be real here. Mimba inaweza tunga kuanzia siku ya 9 tangu alipoingia hedhi. We call first day of menses Day One. So, let's count from day 1 tarehe 7 up to tarehe 15....we arrive to 9 days.

Ushauri: kapige nae ultra sound mjue mimba iliingia lini.
 
itaonyesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…