Nimemaliza masters ya public management nje ya nchi, nimerud Tanzania tangu mwaka jana mwez wa 8, nimekumbana Na janga hili la ajira kusitishwa nimekaa home cna ishu ya kufanya pia niliunga masters cjawah kufanya kaz Na nilimaliza bachelor ya community development, now mmoja wa prof wng aliyenisimamia research wakat nipo nje ananiita nikasome Phd, nipo njia panda je nisubir mpaka ajira zifunguliwe? Or niondoke nikapige Hiyo Phd then cna experience ya kaz. Asanten