chiembe JF-Expert Member May 16, 2015 16,214 27,352 Nov 8, 2024 #1 Huu ni uwanja ambao uwekezaji wake ni wa kiwango cha juu sana. Nashauri uwekewe kamera nyingi sana ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ili wanaoingia wawe salama
Huu ni uwanja ambao uwekezaji wake ni wa kiwango cha juu sana. Nashauri uwekewe kamera nyingi sana ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ili wanaoingia wawe salama
K Kajunjumelle JF-Expert Member Aug 13, 2024 220 239 Nov 8, 2024 #2 Uwekezaji gani pale,kale si ni kauwanja ka mazoezi tu?
Greatest Of All Time JF-Expert Member Jan 1, 2017 23,190 51,920 Nov 8, 2024 #3 Kajunjumelle said: Uwekezaji gani pale,kale si ni kauwanja ka mazoezi tu? Click to expand... Umeniwahi🤣
Kajunjumelle said: Uwekezaji gani pale,kale si ni kauwanja ka mazoezi tu? Click to expand... Umeniwahi🤣