Ushauri: Idara ya Makumbusho ya Taifa ihifadhi baadhi ya vitu alivyotumia JPM wakati wa uongozi wake

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
16,678
27,929
Nashauri idara hii itunze vitu hivyo kama mavazi, magari vitunzwe. Hii iende hata kwa marais wengine.
Screenshot_20250205-193223.jpg
 
kabisa. Kumbukumbu zingine tayari zimeandikwa na akina Kabendera za Ben saanane na wengine.
 
Scientist, wakati huo wanaojiita “watoto wa mjini” walikuwa wako vijijini bado dar waliiisikia tu …
 
Back
Top Bottom