"Ushauri Bora wa Kodi kwa Biashara Yako, mambo ya kuzingatia ili Kuepuka Adhabu mbalimbali

May 22, 2017
51
21
Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi?
Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako.
Tunatoa huduma za ushauri kuhusu:

1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na kuepuka adhabu.
2.Ufafanuzi wa Sheria za Kodi: Kukusaidia kuelewa sheria za kodi za sasa zinazohusiana na biashara yako.
3.Mipango ya Kodi: Kutengeneza mikakati ya kodi inayokufaa na kuendana na biashara yako.
4.Ukaguzi wa Kodi: Kutathimini na kurekebisha makosa ya kodi kabla ya ukaguzi rasmi.
Huduma zetu ni za kitaalamu, zinafanyika kwa wakati na zinakusaidia kupunguza mzigo wa kodi na kuepuka matatizo kama vile penati,riba, kufingiwa akaunti za benki, EFD machine au Mfumo wa VFD yaani usumbufu unaopelekea kushuka kwa ufanisi wa biashara.

Wasiliana nasi leo ili kupata ushauri wa kitaalamu na kuhakikisha biashara yako inafuata inakua salama mda wote.
Mawasiliano:
Namba: 0712685025/0783262125
Barua Pepe:momsconsultingltd@gmail.com
 
Naomba kuuliza swali,katika biashara ya duka,nikishapata leseni ya TRA ile ya online ya 50,000 naweza anza biashara ?
 
Asante kwa dokezo hili. Ni jambo jema ilimradi tu gharama zenu ziwe nafuu, isije mtu akalipa kodi mara mbili, ya consultation na ya serikali.
 
Naomba kuuliza swali,katika biashara ya duka,nikishapata leseni ya TRA ile ya online ya 50,000 naweza anza biashara ?
Ahsante kwa swali lako
Mkuu wangu TRA hawatoa leseni, ile ya online inaitwa Cheti cha utambulisho wa mlipakodi (Taxpayer identification number-TIN) Vilevile wanatoa cheti cha usafi wa kodi (Tax clearance). Kupitia nyaraka hizi mbili Unaweza kuomba leseni kwenye Halmashauri yako husika kupitia mfumo wa tamisemi unaitwa TAUSI.
 
Asante kwa dokezo hili. Ni jambo jema ilimradi tu gharama zenu ziwe nafuu, isije mtu akalipa kodi mara mbili, ya consultation na ya serikali.
Karibu Bosi, wala usiwe na wasiwasi tunafurahi kushauri katika maeneo ya kodi, Uhasibu, ukaguzi na wale wanaopanga kuanzia biashara.usisite kupiga Namba zetu kwa ushauri wa biashara
 
Ahsante kwa swali lako
Mkuu wangu TRA hawatoa leseni, ile ya online inaitwa Cheti cha utambulisho wa mlipakodi (Taxpayer identification number-TIN) Vilevile wanatoa cheti cha usafi wa kodi (Tax clearance). Kupitia nyaraka hizi mbili Unaweza kuomba leseni kwenye Halmashauri yako husika kupitia mfumo wa tamisemi unaitwa TAUSI.
Shukrani sana
 
Back
Top Bottom