Ushauri: Bora uwe na mpenzi mtalaka kuliko mjane

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,610
17,052
Najua hapa nitakosana na watu kibaoo... lakini ndio kweli

Kuwa na Mpenzi Mgane:
labda mkewe awe amekufa miaka miiingi.. hapa naongelea wajane wakiume ambao wanaitwa wagane sio wa kike maana wakike wajane wengi wanaishia kuwa majane mpaka mauti ila wanaume huwowa

Wagane ukabahatika kuwa mpenzi wako mama yangu utajuta nakushauri usiwe na mpenzi mjane maana kila utakachomfanyia chema lazima alinganishe na matendo ya marehemu aliepita

na mpaka aje akuwowe utasanda sana na utakuwa umesotea TAAMU saanaaa... ushauri ni kwamba ukimpata mgane we piga hela utambae (leo nimeamka kushoto sorini)

Kuwa na Mpenzi Mtalaka:
Ni raha sana kwanza hana stress yeye anawaza show, utatanua nae mpaka uchokee hamna kwanza mambo ya strings attach

ila hasara ya mtalaka ni kwamba yeye anakula maisha kwanza kuoa baadae sana! hahaha kwahiyo kama unataka kuolewa bora ukaambatane na kuvumiliana na mjane kuliko mtalaka

ni hayo tu kwa leo nimeona ni share kwa upendo

PS:
Sio wajane na watalaka wote ila wengi wao jamaa!

Nipo namsikiliza Mheshimiwa Rais anaongea na WAFANYA BIASHARA, woooyooo patamuje YouTube sasa!​
 
Upo sahihi wagane wasumbufu sana mara mia mtalaka tatizo wengi haoi lkn km ni bata tu mnalila kwa sana
 
Back
Top Bottom